Kwenu wan JF, leo nimefuatilia dondoo za magazeti kwenye vituo vya tv vya MLIMANI TV, CHANEL 10, lakin sijaona wakigusa magazeti ya MWANAHALISI na RAIA MWEMA, nijuvyeni jamani, wamekatazwa au wameyakosa?
Zumbe, mbona hilo ni la kawaida? Umeishawahi kuyaona yakidondolewa TBC? ITV? Lakini hata wafanyeje, mwaka huu tunao tu. Majina yao tunayaorodhesha...Their Days are Numbered.

kama hata MLIMANI TV wameshaingiliwa basi napatwa na wazimu.
SASA NAANZA KUKUBALIANA NA WANAOSEMA BILA KUMWAGA DAMU HAKUNA UKOMBOZI, KUMBE NDO MAANA HATA YESU ALIMWAGA DAMU KUTUKOMBOA!! BE READY..........!!!!