Nenda kwenye program ulizoomba,kuna alama ya jicho pale na dustbin,klik dustbin kufuta machaguo uliyoomba then ingiza mengine hapo utakua umeomba round nyingine.
Kuhusu ulichokiona sidhani kama wamekuchagua,maana ukichaguliwa status itajieleza,no need of guessing..

Mbona iko sawa mkuuWakuu kwa wale tulio omba udom 3rd round hichi kitu kina maanisha nini tume pata katika single au ndo system zina sumbua,maana uki ingia sehem ya kuapply hakuna mwitikio wowote na profile ipo kama ivyoView attachment 898985
HapanaKwenye orodha ya multpl upo
Hapana
ukiona hivyo ujue umekosa mkuu, ukienda kwenye review utakuta kuna sehemu wameandika NOT SELECTED so omba upya kama ukiingia kwenye apply progrm inagoma basi wapigie wakusaidie itakuwa na shida.

kama wakati unaomba ulikuwa hufuti raundi za nyuma basi display hizo raundi zote 3 hlf angalia juu kuna sehemu nafikr wameandika not selected..Nime ingia kwenye review lakini hakuna chochotee[emoji24]