UDOM: Watumishi wengine 50 wahamishwa

UDOM: Watumishi wengine 50 wahamishwa

Katika habari uliyoileta hapa jukwaani, DADA na KAKA ni akina nani? Maana unaandika habari kama vile watu wote hapa jukwaani ni watumishi wa UDOM.
 
Kupangua wale vigogo 11_ilipaswa kupukutisha matawi na machipukizi hayo 500. Chuo kinasukwa upya. Walioishi kama Malaika, sasa wataishi kama mashetani na walioishi kama mashetani sasa zamu yao. Msisahau mlivyoandamana kumuomba MTU Fulani agombee urais na pesa mkamchangia. Alipoanguka lazima na nyie mteleze hapo hapo, taaluma na siasa havifungamani. Tulia UDOM isukwe upyaaaaa.
*UDOM KIMENUKA TENA*

Miezi michache baada ya watumishi 11 Kuhamishwa. Juzi Jumatano ya tarehe 27. 03. 2019 masaa 24 tangu uongozi mpya uingie ofisini, uhamisho mwingine wa watumishi wapatao hamsini (50) wamehamishwa vituo vya kazi (Staff reallocation) ndani ya Chuo. Kwetu sisi wanajumuiya wa UDOM tatizo sio staff reallocation kwa kuwa jambo hili tunaamini ni jema na salama kwa maendeleo ya Chuo chetu. Maswali ya kujiuliza:-

1.Je? Uhamisho huu umefanywa na uongozi mpya? Kama kweli wamepata muda gani kumjadili kila mtimishi maana ni masaa 24 tu tangu waingie ndo zoezi hilo limefanywa na barua hizo za uhamisho kutoka zilizosainiwa na wao.

2. Je? Uhamisho huu uliandaliwa na aliyekuwa ana kaimu ofisi? ambaye kimsingi hata yeye hawajui watumishi kiasi cha kuweza kufanya reallocation.

3. Au aliyekuwa ana kaimu ofisi alimuagiza Afisa tawala mkuu ambaye pia ndo Kaimu Mkurugenzi Rasilimali watu kwa sasa afanye zoezi hilo na hatimae kuandaa barua zikingoja saini za viongozi wapya?

4. Ama umefanywa na Mwenyekiti wa Baraza kwa kushirikiana na wadau wake wapendwa (THTU & UDOMASA) ama ni maagizo kutoka juu?

Ni vyema ikafahamika kuwa UDOM hamna siri na imefahamika Uhamisho huu umefanywa na aliyekuwa ana kaimu ofisi ya Makamu Mkuu wa Chuo, Mipango, Fedha na Utawala ambaye yeye kwa kuwa hawajui watumishi na kwa kuwa hitaji la kuhamisha watumishi ni ajenda ya Chama cha wafanyakazi (THTU) siku zote. Kiongozi huyo aliona ni vyema alitekeleze kabla ya uongozi mpya haujaingia ili uongozi huo ufanye zoezi la kusaini barua pekee. Hata hivyo; kwa kuwa kiongozi huyo hakuwa na ujanja wa kuwatambua watumishi zoezi hili alishusha kwa Afisa tawala mkuu ili alifanye ambapo ni sahihi kabisa kwa mujibu wa majukumu yake. Cha kushangaza tofauti na matarajio ya Naibu Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo kuwa zoezi hili lingefanywa na Afisa tawala mkuu kama alivyomuagiza kinyume chake zoezi lote la Uhamisho limefanywa Ghorofa ya kwanza (first floor) kwa siri kubwa likiwashirikisha wadau wakuu watatu (03). Nao ni THTU, UDOMASA, Kaka na Dada.

VIASHARA VYA HISIA HIZO

Kwanini wana UDOM wanasema hivyo?

1. Hizi siku za karibuni pamekuwa na ukaribu mkubwa sana kati ya THTHU, UDOMASA, Kaka na Dada. Imeonekana zaidi ya mara kadhaa wadau tajwa wakionekana kutoka ofisini kwa dada na vicheko vikubwa jambo ambalo linapelekea hisia ya kusema "kazi imekwisha."

Ni ukweli usiopingika kuwa Dada amekuwa miaka yote anachuki kubwa na Afisa tawala mkuu aliyekuwa katika ofisi yake. Hivyo, ingeshangaza sanaa dada kufanya jambo hili kisha limuache afisa tawala mkuu huyo salama. Kwa kuthibitisha hilo kwa kweli dada kafanya kazi yake vyema. Kamng'oa mkuu wake ili abaki yeye kuwa mkuu. Kwa sisi wenye akili hiki ni kiashiria kikubwa cha kwamba zoezi hili lina mikono ya dada wengine wamekula ripoti tuu.

TAHADHARI KWA UONGOZI MPYA

1.Ni vyema mkatumia muda mwingi kutafakari kabala ya kufanya maamuzi yeyote kwa kuwa tunaamini hili la uhamisho sio la kwenu na wala hamjapata muda wa kulihoji.

2. Hivi sasa Chuo kinaongozwa na THTU & UDOMASA jambo ambalo sisi waajumuiya wa chuo tunahisi si salama kwa mustakabali wa chuo.

3. Tangu sekeseke la uhamisho wa watumishi 11 pamekuwa na mpasuko mkubwa kwa wanajumuiya wa UDOM. Hivyo ni vyema mkatumia busara na tafakuri kubwa kabla ya kufanya jambo lolote ambalo huenda likachochea mpasuko uliopo sasa.

MWISHO

Tunawatakia kazi njema, Aidha ni vyema tukakumbuka tunaongoza jamii ya wasomi, maelezo mepesi mepesi ya hoja nzito hatudhani kama hapa chuo kikuu ni mahali pake.

"Umoja wetu ndio nguvu yetu" Tafadhali mtuunganishe.
 
Acha fitina & umbeya, uhamisho ni jambo la kawaida kwenye utumishi
 
Kuna sehemu unajiuliza swali harafu unajibu tena mwenyewe,ila kwasababu umesema ni hisia basi tunaomba zibaki hisia tu.

Mbinguni hakuna bia.
 
Unamwamishaje professor kutoka kwenye idara yake kwenda kuwa mlinzi wa getini, au mimi ndo sijakuelewa mleta mada
 
Nyie jamaa wa UDOM walalamishi na lia lia sana.

Kama vipi kuepuka hizo kero acheni kazi njooni huku mitaani mujiajiri.

Huku ugumu wa maisha na uchungu wako wa maendeleo ndio unakufabya ujipagie mwenyewe kituo cha kazi.

Tumechoka drama zenu.
Watakua vijana wa Muddy tu hao. Wenzao wametulia wanapiga mpunga.

Mbinguni hakuna bia.
 
Jamaa anasemaga pambana na hali yako.
*UDOM KIMENUKA TENA*

Miezi michache baada ya watumishi 11 Kuhamishwa. Juzi Jumatano ya tarehe 27. 03. 2019 masaa 24 tangu uongozi mpya uingie ofisini, uhamisho mwingine wa watumishi wapatao hamsini (50) wamehamishwa vituo vya kazi (Staff reallocation) ndani ya Chuo. Kwetu sisi wanajumuiya wa UDOM tatizo sio staff reallocation kwa kuwa jambo hili tunaamini ni jema na salama kwa maendeleo ya Chuo chetu. Maswali ya kujiuliza:-

1.Je? Uhamisho huu umefanywa na uongozi mpya? Kama kweli wamepata muda gani kumjadili kila mtimishi maana ni masaa 24 tu tangu waingie ndo zoezi hilo limefanywa na barua hizo za uhamisho kutoka zilizosainiwa na wao.

2. Je? Uhamisho huu uliandaliwa na aliyekuwa ana kaimu ofisi? ambaye kimsingi hata yeye hawajui watumishi kiasi cha kuweza kufanya reallocation.

3. Au aliyekuwa ana kaimu ofisi alimuagiza Afisa tawala mkuu ambaye pia ndo Kaimu Mkurugenzi Rasilimali watu kwa sasa afanye zoezi hilo na hatimae kuandaa barua zikingoja saini za viongozi wapya?

4. Ama umefanywa na Mwenyekiti wa Baraza kwa kushirikiana na wadau wake wapendwa (THTU & UDOMASA) ama ni maagizo kutoka juu?

Ni vyema ikafahamika kuwa UDOM hamna siri na imefahamika Uhamisho huu umefanywa na aliyekuwa ana kaimu ofisi ya Makamu Mkuu wa Chuo, Mipango, Fedha na Utawala ambaye yeye kwa kuwa hawajui watumishi na kwa kuwa hitaji la kuhamisha watumishi ni ajenda ya Chama cha wafanyakazi (THTU) siku zote. Kiongozi huyo aliona ni vyema alitekeleze kabla ya uongozi mpya haujaingia ili uongozi huo ufanye zoezi la kusaini barua pekee. Hata hivyo; kwa kuwa kiongozi huyo hakuwa na ujanja wa kuwatambua watumishi zoezi hili alishusha kwa Afisa tawala mkuu ili alifanye ambapo ni sahihi kabisa kwa mujibu wa majukumu yake. Cha kushangaza tofauti na matarajio ya Naibu Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo kuwa zoezi hili lingefanywa na Afisa tawala mkuu kama alivyomuagiza kinyume chake zoezi lote la Uhamisho limefanywa Ghorofa ya kwanza (first floor) kwa siri kubwa likiwashirikisha wadau wakuu watatu (03). Nao ni THTU, UDOMASA, Kaka na Dada.

VIASHARA VYA HISIA HIZO

Kwanini wana UDOM wanasema hivyo?

1. Hizi siku za karibuni pamekuwa na ukaribu mkubwa sana kati ya THTHU, UDOMASA, Kaka na Dada. Imeonekana zaidi ya mara kadhaa wadau tajwa wakionekana kutoka ofisini kwa dada na vicheko vikubwa jambo ambalo linapelekea hisia ya kusema "kazi imekwisha."

Ni ukweli usiopingika kuwa Dada amekuwa miaka yote anachuki kubwa na Afisa tawala mkuu aliyekuwa katika ofisi yake. Hivyo, ingeshangaza sanaa dada kufanya jambo hili kisha limuache afisa tawala mkuu huyo salama. Kwa kuthibitisha hilo kwa kweli dada kafanya kazi yake vyema. Kamng'oa mkuu wake ili abaki yeye kuwa mkuu. Kwa sisi wenye akili hiki ni kiashiria kikubwa cha kwamba zoezi hili lina mikono ya dada wengine wamekula ripoti tuu.

TAHADHARI KWA UONGOZI MPYA

1.Ni vyema mkatumia muda mwingi kutafakari kabala ya kufanya maamuzi yeyote kwa kuwa tunaamini hili la uhamisho sio la kwenu na wala hamjapata muda wa kulihoji.

2. Hivi sasa Chuo kinaongozwa na THTU & UDOMASA jambo ambalo sisi waajumuiya wa chuo tunahisi si salama kwa mustakabali wa chuo.

3. Tangu sekeseke la uhamisho wa watumishi 11 pamekuwa na mpasuko mkubwa kwa wanajumuiya wa UDOM. Hivyo ni vyema mkatumia busara na tafakuri kubwa kabla ya kufanya jambo lolote ambalo huenda likachochea mpasuko uliopo sasa.

MWISHO

Tunawatakia kazi njema, Aidha ni vyema tukakumbuka tunaongoza jamii ya wasomi, maelezo mepesi mepesi ya hoja nzito hatudhani kama hapa chuo kikuu ni mahali pake.

"Umoja wetu ndio nguvu yetu" Tafadhali mtuunganishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawewe umeamishwa Nini!?? Umeamishwa unakuja kulia lia humu tena na CODE zako za kilocal KAKA na DADA as if tunawajua.. mnatuzngua sana hapo Central admission na majibu yenu ya dharau na kukatisha tamaa!! Tunakuja tena kama nidhamu bado haijatengamaa tu tunawatoa huko tena mliko pelekwa mkajiajiri tu...

Typed Using KIDOLE
 
Hivi mlevi mwenzangu niambie chuo kikuu ni darasa la ngapi? Hivi wanasoma mpaka madarasa mangapi huko? ina maana cha Dar kilijaa wakawahamishia madarasa mengine? Mbona mimi nilipomaliza la saba niliambiwa sikupata nafasi?

Duh mpaka umenikata stim hapa ya tangi

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafikiri kila anayeingia humu ni Einstein? Humu kuna wanaowaza ngono tu na sisi wengine ulabu. Nimetoka lindo sasa hivi. I made your day anyway!!!
Yap...
Ulabu na kazi....ndy nmeingia home
Ngj Npumzike like 1 hour then niingie kwenye hustle......

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yap...
Ulabu na kazi....ndy nmeingia home
Ngj Npumzike like 1 hour then niingie kwenye hustle......

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wanaosoma wanataka kuwa nyerere?? Nawaza kilevi vile. Mimi mchicha wangu umeharibika na kisamvu kina ukungu. Wewe umesomea nini? Mshana jr. hajanieleza huwa mnakutana wapi?
 
Hicho chuo kinaonekana kilikuwa na tatizo kubwa sana, kila siku kilio kama unaona kuna uonevu si muache kazi mje mtaani mtumie elimu zenu kujiajiri?
 
... wale wale mliotamani kukigeuza chuo taasisi ya kidini mnaleta majungu yenu humu. Tueleze kama utaratibu uliotumika ni sahihi ama la na sio kulalamika eti uongozi mpya ndani ya masaa 24 umewezaje kufanya hayo! That's not your job.
 
Hicho chuo kinaonekana kilikuwa na tatizo kubwa sana, kila siku kilio kama unaona kuna uonevu si muache kazi mje mtaani mtumie elimu zenu kujiajiri?
... walitaka wajenge jumba la ibada at the heart of the university ndio roho zao zingetulia. Wameshtukiwa wanapiga mayowe.
 
Back
Top Bottom