UDOM wapanga kugoma

UDOM wapanga kugoma

sakapambo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2015
Posts
502
Reaction score
150
Serikali ya wanafunzi UDOM Coed kupitia wizara ya habari, mawasiliano, wizara ya mikopo, na wizara ya katiba na sheria imewaomba wanafunzi wote wa kitivo cha elimu (coed) kukutana leo saa kumi jioni katika viunga vya block M ili kujua nini kifanyike ili waweze kupata fedha zao za kujikimu.
 
Kwa hii serikali ya kichovu ya majizi, dhaifu. Hakuna cha kufanya.
 
Kesho kutakuwa na maandamano kuelekea bungeni ya wanafunzi wa udom collage ya education,lengo ni kuomba wabunge wawasaidie ili wapate stahki zao kutoka bodi ya mikopo,
 
Wakumbuke kuwa huwa wanabanwa kwenye mitunduru(miiba) na FFU hivyo wajiandae maana mbele FFU nyuma yao FFU kulia na kushoto kwao mitunduru
 
Tatizo wana vyuo wa siku hizi eti wanajifanya kushabikia upinzani.. Wakachukuee kadi za ccm wapate mikopo.
 
Wanafunzi WA udom wametangaza Mgomo usiokuwa na Kikomo madai ni kucheleweshwa kwa mikopo
 
katika mi wanafunzi mijinga nchi ii ya UDOM ni namba moja wamesahau matamko yao ya kuingua mkono serikali ii ya ccm leo wanaandamana nini FFU fanyeni kazi yenu na mimi nitakua maeneo ayo ya bungeni nitashiriki kwenye kuwapiga
 
Mwigulu kashasema Leo pesa zipelekwe, wanafunzi wapewe ndiyo taratibu zingine za kiuhasibu zifuatwe. Ila hawa wanachuo wa siku hizi Dah!
 
Wavamieni hapo Bungeni kwa fujo si wapo wote hapo. Fanyeni la maana kama kule kwa nkurunziza.
 
Mwigulu kashasema Leo pesa zipelekwe, wanafunzi wapewe ndiyo taratibu zingine za kiuhasibu zifuatwe. Ila hawa wanachuo wa siku hizi Dah!

Lazima huijui serikali yako. Haifanyi jambo bila shinikizo. Wacha tu ikibidi wapigwe lakini huenda wakafanikiwa.
 
katika mi wanafunzi mijinga nchi ii ya UDOM ni namba moja wamesahau matamko yao ya kuingua mkono serikali ii ya ccm leo wanaandamana nini FFU fanyeni kazi yenu na mimi nitakua maeneo ayo ya bungeni nitashiriki kwenye kuwapiga
Use unatumia akili Na busara wanachuo ni watu wazima Na kila MTU anahaki ya kuwa Na chama Na atutegemei wote wawe ccm au wote ni cdm so hata matamko hvyo hvyo,
 
Back
Top Bottom