Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,076
- 6,774
mmmhh hapo ndo mjue heslb nao watachelewa
eeeeeh mungu umesikiliza maombi yangu bora daah maana
eeeeeh mungu umesikiliza maombi yangu bora daah maana
we jamaa ni mtata sana,yani kila chuo umepangwa.
na supplementary zinaanza lini??
THANKS GOD KWA HILI
Furaha na amani kwangu na kwa wengine kwani Mungu amesikia kilio chetu na ninahisi kabisa kusogeza mbele muda wa kuripoti nafikiri ni kuipa nafasi board ifanye yake,Mungu saidia tupate fedha tukasome kwa amani na utulivu.
na supplementary zinaanza lini??
Bodi Kuipa Nafas Ifanye Yake.Unamaanisha Kwamba Mikopo Wanapewa Wana Udom Tu?..Manake Vyuo Vngne Hawajasogeza Ni Udom Pekee.
''Maagizo toka mamlaka za JUU''
THANKS GOD KWA HILI
Furaha na amani kwangu na kwa wengine kwani Mungu amesikia kilio chetu na ninahisi kabisa kusogeza mbele muda wa kuripoti nafikiri ni kuipa nafasi board ifanye yake,Mungu saidia tupate fedha tukasome kwa amani na utulivu.
na supplementary zinaanza lini??
Km ni non priority sahau... Serikal haina hela.
Km ni non priority sahau... Serikal haina hela.
Hata priority wajipangee...
pia wahadhiri na wafanyakazi wa chuo kikuu cha Dodoma wapatao 800 walishatangaza mgomo kuanzia tarehe 02 November kama madai yao hayatakuwa yamefanyiwa kazi kufikia mida huo, hivyo huenda hili nalo likachangia.
wanajijua wao ni wacheleweshaji wa boom ndo maanaBodi Kuipa Nafas Ifanye Yake.Unamaanisha Kwamba Mikopo Wanapewa Wana Udom Tu?..Manake Vyuo Vngne Hawajasogeza Ni Udom Pekee.