VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Pale UDSM sio jambo geni binti kujiuza,kuna jamaa yangu alibeba mzigo Billicanas akalala nao wakaachana kumi na moja na nusu asubuhi wakakutana Nkrumah hall kwenye lecture ya DS saa tano asubuhi
Ni kweli Baba V.Miak
ahiyo hata mimi nilikuwepo na kusimuliwa kisanga hicho kilichokuwa
chamoto kabisa...
Poleni wadogo zangu kwani ni jambo la kusikitisha sana iwapo mtoto wa kike ataamua kujiuza kwa kupata pesa ya kujikimu kwa vile kacheleweshewa boom!Kugoma au kutumia violence kudai haki ni sawa lakini hata ukimgomea shetani unadhani atakuonea huruma?Nchi inayoongozwa na viongozi wenye huruma hata mfungwa akigoma kula lazima watashtuka na kuwasikiliza!jaribu tanzania uonane na ziraili na viongozi ndo kwanza watakupotezea kana kwamba unathamani ya mdudu tu!Jipeni moyo saa ya ukombozi inakuja!UDSM kujiuza ni kawaida miaka hiyo nakumbuka rafiki yangu alikula mzigo pale Rozana buguruni kesho yake wakakutana dining kujisomea mabibo hostel.
Pale UDSM sio jambo geni binti kujiuza,kuna jamaa yangu alibeba mzigo Billicanas akalala nao wakaachana kumi na moja na nusu asubuhi wakakutana Nkrumah hall kwenye lecture ya DS saa tano asubuhi
Pale UDSM sio jambo geni binti kujiuza,kuna jamaa yangu alibeba mzigo Billicanas akalala nao wakaachana kumi na moja na nusu asubuhi wakakutana Nkrumah hall kwenye lecture ya DS saa tano asubuhi
ni ukumbi wa yombo1 tena lecture ya saa 1 asubuhi ya prof Horoub wakati huo,nakumbuka sana make nilikuwepo by then.Haaaaaaaaaaaa DS 101 na Nkurumah tena au Theater I au II.......Ugumu wa maisha sio ndio 7bu ya kujiuza,kama wana ukata wauze simu au waweke bondi tv,radio,laptop ili waweze kujikimu....
Ushahidi upi? Umenunua mzigo au?Swala la udom ni janga...nimejionea na nina ushahd...
Swala la udom ni janga...nimejionea na nina ushahd...
Ushahidi upi? Umenunua mzigo au?
Haaaaaaaaaaaa DS 101 na Nkurumah tena au Theater I au II.......Ugumu wa maisha sio ndio 7bu ya kujiuza,kama wana ukata wauze simu au waweke bondi tv,radio,laptop ili waweze kujikimu....