jaman hvi hakuna sheria ya kuwashitaki wababaishaji katika ajira? hawa udom wananikera sana. kuna interview zilifanyika tangu mwez wa tatu lakini hadi leo hakuna majibu pia nakumbuka kipindi cha nyuma kidogo kuna watu walifanya interview pale hawakuitwa na katika kufatilia wakaambiwa wameicancel. hv hawajui km watu wanatumia pesa kuja kwenye usaili? hakuna sheria inayorusu kuwashitaki kwa usumbufu wao?
Chuo hakina hela, hakipokei tena ruzuku kutoka serikalini, kinatakiwa kijiendeshe chenyewe, kwa hiyo wanasubiri makusanyo ya ada ndio wajipange upya kuwaita kazini, kwa hiyo subiri kidogo tu, utaitwa kazini
wewe unayesema chuo cha kata nadhani una ugonjwa wa udomphobiasis.maana linaloongelewa na ulilojibu havina uhusiano.Isitoshe kuwa cha kata haimaanishi hata wahitimu ni kata.je Ndugai na Makinda walisoma pale?
jaman hvi hakuna sheria ya kuwashitaki wababaishaji katika ajira? Hawa udom wananikera sana. Kuna interview zilifanyika tangu mwez wa tatu lakini hadi leo hakuna majibu pia nakumbuka kipindi cha nyuma kidogo kuna watu walifanya interview pale hawakuitwa na katika kufatilia wakaambiwa wameicancel. Hv hawajui km watu wanatumia pesa kuja kwenye usaili? Hakuna sheria inayorusu kuwashitaki kwa usumbufu wao?