UDOM: Special Diploma tunaenda au hatuendi?

Mwenye kujua jamani kwa nini sisi Special Diploma hatupewi mkopo na Chuo kinafungua keshokutwa tu.

Mimi binafsi sijapatiwa mkopo majiuliza kwa hali hii tutaenda kweli bila mkopo?

Hivi kuhusu direct cost tumalipa au wanatuipia nazo.Nahitaji kujua kuhusu hilo wadau
 
Jiandaeni jamani chuo hicho kinafunguliwa jumamosi muwahi kwa sisi mwaka wa kwanza hasa special diploma
 
Ni cheki wasap 0652501314, nikuunge kwa group la udom first year wote wa degree na special diploma..karibuni..hope utajifunza mengi kupitia hilo group
 
Back
Top Bottom