So, Mbona Walituambia Ttume Maomb Ya Mkopo Sasa ?
na ucpofika chuon tarh 14,ukafika cku nyingine itakuwaje?

Mwenye Kujua Jaman Kwa Nn Sisi Special Diploma Hatupewi Mkopo Na Chuo Kinafungua Keshokutwa Tu, Mm Binafsi Sjapatiwa Mkopo Najiuliza Kwa Hali Hii Tutaenda Kwel Bila Mkopo?
hamkosi wewe ikifika tarehe 14nenda karipoti chuoni,,,, majina utayakuta kule kule nyie hakuna mtu anayekosa ndio maana majina yenu hayotagi kwenye web yao,, na ni asilimia mia mnapata,,,, masomo mema.

Kuna ndgu angu had sa iv hajaomba!! Inawezekana kuombea chuon???
huku nilipo hakuna tawi la benki naruhusiwa kulipia chuoni yaani niende na hela tu inawezekana au nilazima nilipe kabla ya kuripot

Na waliochaguliwa chuo cha PATANDI nao wanapewa huo ufadhiri?Hampewa mkopo bali ni ufadhili na mtasaini mkifika chuo