UDOM siwaelewi

UDOM siwaelewi

Ordger

Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
37
Reaction score
15
habali wana jf??
jaman mi udom siwaelew, nilichaguliwa chuo zaidi ya kimoja katika awamu ya kwanza ikiwemo udom, Ila sikucomfirm, na wakaniandikia kabisa sijacomfir, lakini Leo naangalia nakuta wameniandikia please your confirmed your admission, ASA sielewi wamecomfirm wenyewe au VP??
 
Ilo tatizo limenitokea hata Mimi kuna chuo wameconfirm bila ridhaa yangu yani sielewi mpaka sasa
 
habali wana jf??
jaman mi udom siwaelew, nilichaguliwa chuo zaidi ya kimoja katika awamu ya kwanza ikiwemo udom, Ila sikucomfirm, na wakaniandikia kabisa sijacomfir, lakini Leo naangalia nakuta wameniandikia please your confirmed your admission, ASA sielewi wamecomfirm wenyewe au VP??
Chukua no za udom piga admission ofc wambie wanaku un-confirm fasta wale n waelewa ...humu utakejeliwa mpaka hutaamin
 
M kuna vitu sivielewi kabisa... Selection ya IFM ilitoka ikaniandikia niconferm nipo kwenye multiple.. Lakin vyuo vingine vilipotoa Matokeo sikuwepo popote pale nikaamua Kuconferm tu IFM kwenye Online application mana ndo nilipofanyia. Leo naingia kwenye website yao wametoa watu waliokuwa selected afu m sijui pote.... Whatswrong.???? Nifanyeje jama.???
 
Mfumo wa majaribio kwenye maisha ya watu ndo shida zake hizi.

Muda huu yeye kalala magogoni shida kawashushia wengine mpuuzi yule.
 
M kuna vitu sivielewi kabisa... Selection ya IFM ilitoka ikaniandikia niconferm nipo kwenye multiple.. Lakin vyuo vingine vilipotoa Matokeo sikuwepo popote pale nikaamua Kuconferm tu IFM kwenye Online application mana ndo nilipofanyia. Leo naingia kwenye website yao wametoa watu waliokuwa selected afu m sijui pote.... Whatswrong.???? Nifanyeje jama.???

niambie jinsi ya ku-confirm IFM
mdogo wangu kachaguliwa hapo
ana multiple selection na udom
 
Sababu ya kwanza ya kukosa mkopo kuconfim vyuo zaid ya kimoja....mungu atusaidie
 
Washanikosesha tayali nahisi maana nikiwapigia simu wananijibu mkato, eti niende huko ninakotaka, asa so utani huu??
 
Back
Top Bottom