UDOM ni Jipu, hadi leo wameshindwa kutoa "Selection" ya Chuo

UDOM ni Jipu, hadi leo wameshindwa kutoa "Selection" ya Chuo

Taratibu mambo mazuri hayataki haraka, hao wengine wametangaza majina na kutoa deadline fupi kwa kuogopa kukosa wanafunzi yaani wanakutishia nyau. UDOM soon mambo yanakua hewani
 
Heshima kwanza! kila siku mnaitukana Udom eti chuo cha Kata sasa kimekuwa tegemeo lenu na ndio kete ya mwisho kwenu! ombeni sana maana hamjui hali ikoje huko
Ukitaka kujua Udom sio chuo cha kata angalia waliohamishwa st joseph ya songea,wote waliopelekwa Udom na SUA walirudishwa mwaka mmoja nyuma tofaut na waliopelekwa vyuo vingine.
 
Taratibu mambo mazuri hayataki haraka, hao wengine wametangaza majina na kutoa deadline fupi kwa kuogopa kukosa wanafunzi yaani wanakutishia nyau. UDOM soon mambo yanakua hewani
Tatizo siyo haraka unayoisema wewe, msomi lazima uende na timetable
 
Heshima kwanza! kila siku mnaitukana Udom eti chuo cha Kata sasa kimekuwa tegemeo lenu na ndio kete ya mwisho kwenu! ombeni sana maana hamjui hali ikoje huko
Wewe ndo mtarban... id ya 6 hii kwako. Hukosei hata password au unatumia moja? Lakini shida yote hii ya nini?
 
iv itakuaje kama umesha confirm chuo kingine lakin baadae ukaamua kubadili uamuz kuna namna ya kucancel ile confirmation yako
Kucancel confirmation ni kutokuripoti na ukaripoti Chuo unachokipenda! Mwisho Wa siku orodha ya wanafunzi waliosajiliwa physically ndiyo itakayo-matter!
 
Back
Top Bottom