UDOM ndiyo chuo bora Tanzania

UDOM ndiyo chuo bora Tanzania

Zipo sababu Nyingi unaweza kutumia kupima Ubora wa kitu Lakini kikubwa ni Kwamba Kifit Preferences Nyingi za kuweza kuitwa Bora and UDOM Fits most of those Preferences!!

1.MAHALI(LOCALITY)
Kipo dodoma ambayo ndo Habari Ya mjini sasa Hivi alaf Geographically kama tunavyojua dodoma Ipo katikati Ya Tanzania hivo Usafiri sio changamoto kwenda Muda wowote unaotaka kwenda Plus Fact Ya Kuwa dodoma Is Now Growing kinaipa Fursa Kubwa sana in terms Of services.

2.GHARAMA ZA MAISHA(COST OF LIVING)
Unlike Vyuo karibia Vyote Tanzania UDOM Ina cost ndogo za Maisha,tukianza Na Fact kuwa Kuna Hostels Mia Kidogo za wanafunzi kulala where u Just pay 5oo/- kwa siku which is More than Enough,alaf misosi Yenyewe Iko cheap Kinyama Yaan starting from 1ooo/- ambapo Unakula na kushiba Kabisa kuna villages za wajasiriaMali along the university ambapo unapata vitu mbalimbali kwa Bei Ya Nyanya.

3.VIFAA VYA KIMASOMO(EDUCATION FACILITIES)
Kila College Ina Maktaba Yake na Labaratories ambapo unakuta Materials mbali mbali za considering the Fact Kuwa ni cha Juzi Juzi Facilities Bado zipo katika Ubora wake Unlike Vyuo Tangia enzi za Nyerere na Mitaala Ya nchi Hii inayobadilika havipo Updated Kabisa,na due to wingi wa Colleges ukipita Kila Maktaba hutakosa unachotafuta.Pia kuna Buses za Chuo Just Incase kuna Trip Yoyote

4.VIFAA VYA KIMICHEZO+RECREATION
Kila college Ina kiwanja chache cha Mpira,basketball na Volleyball infact vya hii michezo ni viwili viwili ni some colleges na Mpka tennis courtYards Pia zipo nets,mipira na Facilities zingine sitaki kuongelea Maana huwezi Kujenga viwanja viwili viwili alafu ukakosa Mipira,Kuna Club Kuntu pale Humanities kwa wale wapenda Bata,kuna swimming Pool pia Just costs 3000 kwa wanafunzi

5.MADHARI(ENVIROMENT)
Udom Ina Mazingira Bora sana especially kuanzia February to september kuna milima na mabonde Ya kutosha tu kifupi the view is Just Perfect,na kutokana na baridi Ya usiku hamna mbu kabisa,kimajengo sihitaji kuongelea maana watu wanasomea kwenye Bunge la zamani alaf Yapo mengi Mpka Yanazidi Mengine Yanaazimwa kabisa na serikali

5.UMBALI KUTOKA MJINI.
Sio zaidi Ya 8km nauli ni 400 na mabasi Yapo pale pale Chuo kwaio Usafiri sio Kero hata kidogo any time Of the day unafika tu Pale chuoni without hurting ur head Yaan huwazi sana

6.QUALITY YA ELIMU.
Ipo kawaida tu kama chuo chochote Kile hapa nchini kuna lectures wa kutosha na Pia kuna hata new courses zimeanzishwa hapa ambazo huzipati kwenye vyuo vingi Tanzania baada ya serikali kuona haja alaf Pia masomo kama chinese ni Free kabisa kusoma no Charges wachina wapo pale wanafundisha and people Go to china every Now and Then
mtazamo mzuri
 
Kwakweli ni bora maana kwa ubora wake ndalichako ana kazi ya ziada ya kufanya.
Uozo uliopo duuuuh...
 
yeye anajua vyuo bora apa tz lakn sio UDOM.
Bora angesema ata SUA kidogo au ata udsm lakn UDOM mmmmmh.
Labda maono yang tofaut
Uliwahi kufika na ukaona elimu inayotolewa pale au wewe ni miongoni akina kaniambia fulani?
Unapozungumzia udsm na sua ni vyuo vikongwe hapa tz na hauwezi ukalinganisha na udom ambayo imeanza 2007, lakini pia lecturers karibia wote ni product za udsm na sua sasa kwanini uwe na wasiwasi na ubora wa elimu wakati kitu ni kile kile na kuna uwezekano kukawa na maboresho zaidi hata ya huko unakodhani ni bora....lakini na imani kabisa na ww ni mfuata upepo kama wengine wanaopiga kelele pasipo kujua ni nini wanachokiongea hebu nenda kasome angalau hata semister moja tu halafu ulete mrejesho hapa jf.....hata mimi niliamini hivyo unavyoamini ww na sikupenda kabsa baada ya post ya udom kutoka kwani nlikuwa ni team udsm na hiyo sua lakini baada ya kwenda sijaona tofauti zaidi ya ukongwe mifumo ni ile ile na ufundishaji ni ule ule sijui ww ulitaka kuwe na nini cha ziada...kwani sua, udsm na mzumbe nimeenda nikaona hakuna kipya zaidi katika ufundishaji na walimu... Lakini kumbuka kuna lecturers wengine kutoka udom kwa baadhi ya course wanafanya part time hata kwenye hivyo vyuo unavyohisi ni bora kwako...
 
Yaani kadri watu mnavyoisema vibaya UDOM ndo kama mnawapa chachu ya watu kwenda kusoma huko ili kupima mawazo yenu finyu ya kifikra..badala kukaa ni kufurahia vyuo vilivyomo nchini kwenu mnaanza kuleta ushabiki wa kishabe...sijui mnawafunza nini madogo wanaowaza kusoma elimu ya juu katika nchi yao...kila chuo kina changamoto zake na ieleweke kuwa huwezi kulinganisha UDOM NA UDSM kwani ni vyuo vyenye historia tofauti so ieleweke kwamba kila chuo ni bora ila vinazidiana ubora katika sehemu tofauti tofauti...yaani mm nikiona wasomi kama nyinyi mnapoteza muda kubishana ubishi usiokuwa na faida naona kama vile watu wasiojitambua vileee....
..Fact
 
Uliwahi kufika na ukaona elimu inayotolewa pale au wewe ni miongoni akina kaniambia fulani?
Unapozungumzia udsm na sua ni vyuo vikongwe hapa tz na hauwezi ukalinganisha na udom ambayo imeanza 2007, lakini pia lecturers karibia wote ni product za udsm na sua sasa kwanini uwe na wasiwasi na ubora wa elimu wakati kitu ni kile kile na kuna uwezekano kukawa na maboresho zaidi hata ya huko unakodhani ni bora....lakini na imani kabisa na ww ni mfuata upepo kama wengine wanaopiga kelele pasipo kujua ni nini wanachokiongea hebu nenda kasome angalau hata semister moja tu halafu ulete mrejesho hapa jf.....hata mimi niliamini hivyo unavyoamini ww na sikupenda kabsa baada ya post ya udom kutoka kwani nlikuwa ni team udsm na hiyo sua lakini baada ya kwenda sijaona tofauti zaidi ya ukongwe mifumo ni ile ile na ufundishaji ni ule ule sijui ww ulitaka kuwe na nini cha ziada...kwani sua, udsm na mzumbe nimeenda nikaona hakuna kipya zaidi katika ufundishaji na walimu... Lakini kumbuka kuna lecturers wengine kutoka udom kwa baadhi ya course wanafanya part time hata kwenye hivyo vyuo unavyohisi ni bora kwako...
..Asante Mkuu
 
Back
Top Bottom