UDOM na UDSM: Kipi ni chuo bora

UDOM na UDSM: Kipi ni chuo bora

Wakuu habari ya wakati huu... Natumaini wote humu ndani ni wazima na mnaendelea Vizuri na shughuli zenu za hapa na pale japo changamoto haziepukiki...
Twende moja kwa moja kwenye mada kumekuwa na mabishano mengi kuhusu kipi ni chuo bora watu wamekuja humu na Points zao lukuki Kuwa wao ni bora zaidi ya wengine. Binafsi mijadala kama hii kwangu huwa haina mashiko na huwa naipuuza tu. Maana naamin mtu bora anapatikana au anatoka mahali popote pale kote huko ni pazuri ndio maana pakawa mahali pa kupata taaluma katika fani flani... Binafsi nimebahatika kusoma kote huko yaani UDSM na UDOM kwa vipindi tofauti na kujionea namna mambo yanavyoendeshwa
Hakika UDSM Chuo kimechoka kimajengo hasa upande wa Hostel Hall2 na 5 pale main campus zinatia huruma sana vyoo navyo mungu anafaham tulivyokuwa tunajisaidia huku ukiwa makin kuruka kama mtegua mabumo... Ahsanteh vyoo vya Cafe1 pale kwa kutuokoa... CoET na kule SR vyoo vichafu maji Hakuna... Kwa upande wa Academic UDSM hakika bado wanajitahidi walimu wakutosha na ukilala hasa kule CoNAS mwaka wa kwanza tu wanakula Kichwa...
UDOM hapa Jamaa kimajengo wako vizuri sana hata elimu napo wako Vizuri tu japo kuna changamoto sana ya walimu hasa kule College of health sciences.. Walimu wengi ila sio wote ni masters holder... Kero zake ni maji aseeh Ni changamoto kidogo kutembea umbali mrefu kufata vipindi na Practicals Chuo hakuna vimbwete watu tunarundikana Cafe discussions... Pia Chuo hakina userious kabisa kwenye Usajili mtu unakaa miezi 3 na Huku tests unafanya Pasipo ID hawajali hata udanganyifu kufanyika katika tests... Zaidi ni Chuo hakina Prospectus za kutosha kitu kinachokufanya kushindwa kuelewa Vizuri kuhusu kozi yako.. Hata online Prospectus Hakuna... Almanac nayo ni hovyo hovyo tu mtandaoni Yaan mpaka inafika mahali unaguess tu Mitihani utaanza lini...
Yote kwa yote Vyote ni vyuo bora sana Japo vinachangamoto zake UDOM mkiboresha kidogo utendaji kazi wenu mkawa kama UDSM hakika itakuwa ni sehemu Nzuri sana kuliko mlivyo Sasa...
Mungu bariki vyuo vyetu Mungu ibariki Tanzania...
udsm ni taaluma majengo nenda udom chuo cha kata!
tcu mngenipeleka udom nisingesoma!
 
Nina wasi wasi na elimu ya mleta mada, laiti kama ungefanya utafiti usingeleta mada hii. Ni mpumbavu tu ndiye anaweza kusema sisimizi ni mkubwa kuliko tembo
Mkuu Pengine naweza kuwa siko sahihi lakini ni Vizuri zaidi ya kuja na hoja na sio kejeli.. Pia Vizuri ukaja na maelezo yako
 
SOMA UJUMBE HUU KWA UFASAHA BILA KUCHOKA, UTAELEWA VIZURI KABISA FURSA HII, KISHA ULIZA MASWALI PALE AMBAPO UTAHITAJI UFAFANUZI.

HISTORIA YA ELINET AFRIKA ni MFUMO Ulioanzishwa 2016 nchini Tanzania
Na ofisi zao zikiwa Dar es Salaam imesajiliwa kisheria kabisaa

Lengo Kuu la huu mfumo ni kuisaidia dunia (jamii husika ya mahali husika iweze kujikwamua yenyewe kiuchumi kwa njia ya wanajamii wenyewe kuweza kusaidiana kwa kuinuana kiuchumi kwa njia ya KUCHANGIANA.

Sasa basi mnachangianaje na kunyanyuana kiuchumi / kifedha?

Ili uweze kujiunga na Fursa hii ya ELINET AFRIKA ni lazima ujiunge kwa kumpatia / kumchangia / kumtumia moja kwa moja kwenye simu yake (tigo pesa, mpesa, airtel money, ezy pesa, PayPal, Bitcoin, Western Union, Bank za kawaida n.k Kiasi cha shilingi 10,000 / = Yule aliyekupa / kushirikisha fursa hii ambaye atakuwa ni Mwanachama wa ELINET AFRIKA Ili akusajili. Fedha hiyo itakuwa ni yake moja kwa moja

Hivyo
Unatoa / kuchangia 10,000 kwa aliyekushirikisha Fursa hii (mama) ..

GRADE 1

Kisha wewe unatakiwa (kushirikisha) watu 6 .na kila mmoja atakupatia / kukuchangia na wewe 10,000 Tsh. ( za Kwako hizo huwarudishii) ZAKO

6× 10,000= 60,000/=

GRADE 2

Kwenye hiyo 60,000 unatakiwa kuchangia 20,000 kwa mtu alomuunganisha alokuunganisha wewe (Bibi/babu) , kwa lugha rahisi ni kwamba una changia hiyo hela kwa Babu/Bibi yako.

So, itakuwa
600,000-20,000= Utabakiwa na Tsh 40,000/=

400,000-10,000 (Mtaji ile uliyotoa kwanza )= 30,000/=

30,000 ndo faida kutokana na watu wako wale watano.

2. Hao 6...kila mmoja ataunganisha watu 6 kama ulivyofanya wewe...

Then itakuwa watu wako wa 6 Wakishirikisha wa 6 wao=36 Watu (wajukuu)

Na hao 36 Wakishirikisha wa 6 wao na wao watakuwa na 60,000 /=

Sasa basi kila mjukuu wako mmoja Atakuchangia Tsh 20,000 toka kwenye 60,000 zao kama wewe ulivyomchangia bibi yako 20,000 pale awali = SAWA??

Hivyo basi 20,000 X 36 wajukuu = Jumla ukapokea / changiwa kiasi cha Tsh 720,000/=

GRADE 3

Kwenye 720,000 yako Sasa hivi utamchangia wa juu yako zaidi 30,000= 720,000 -30,000= (690,000 hiyo faida yako utakula wewe na familia yako)

Hela inazidi kuongezeka tuuuu...

3) Na hao 36 kila mmoja ataunganisha 6 ndani ya timu yako utakuwa na vitukuu 216. Na wao pia watakuchangia 30,000 kila mmoja

Tsh 30,000 X216 wajukuu unapata 6,480,000.

GRADE 4
Hapo utatoa 40,000 YA kumchangia Tena wa juu yako zaidi inayobaki ni faida yako. Na hivyo kuruhusu kupokea 40,000 toka kwa vitukuu vyako 1296

1296 vitukuu X40,000= 51,840,000/= HIZO FEDHA NI ZAKO WEWE UTAKAZOZIPATA KWA KUCHANGIANA NA WENZAKO TU.

Tambua ELINET AFRIKA Kuna Grade ya 1 hadi GRADE 6. Kwenye hiyo grade ya 4 Tayari una Milioni 51,840,000. Ukifika Grade ya 6 utakuwa na Mamilioni mangapi?

KARIBU ELNET AFRIKA

NJOO TUCHANGIANE VITU VYA KUTUNYANYUA KIUCHUMI / KIFEDHA / ADA / UJENZI, MITAJI YA BIASHARA NA MAENDELEO MENGINE.

KUMBUKA ELNET AFRIKA haishiki fedha yoyote ya Mwanachama wake.
click link hii kujiunga mwenyewe ELNET Africa au kwa maelezo zaid whatsapp number
+255754091268 au click link hii ujiunge kwny group la Elnet Africa whatsapp ELNET Africa pia waweza tupia namba yako uunganishwe kwny group la Elnet Africa ktk whatsapp
Umepata shilingi ngapi mpaka sasa ww
 
Wakuu habari ya wakati huu... Natumaini wote humu ndani ni wazima na mnaendelea Vizuri na shughuli zenu za hapa na pale japo changamoto haziepukiki...
Twende moja kwa moja kwenye mada kumekuwa na mabishano mengi kuhusu kipi ni chuo bora watu wamekuja humu na Points zao lukuki Kuwa wao ni bora zaidi ya wengine. Binafsi mijadala kama hii kwangu huwa haina mashiko na huwa naipuuza tu. Maana naamin mtu bora anapatikana au anatoka mahali popote pale kote huko ni pazuri ndio maana pakawa mahali pa kupata taaluma katika fani flani... Binafsi nimebahatika kusoma kote huko yaani UDSM na UDOM kwa vipindi tofauti na kujionea namna mambo yanavyoendeshwa
Hakika UDSM Chuo kimechoka kimajengo hasa upande wa Hostel Hall2 na 5 pale main campus zinatia huruma sana vyoo navyo mungu anafaham tulivyokuwa tunajisaidia huku ukiwa makin kuruka kama mtegua mabumo... Ahsanteh vyoo vya Cafe1 pale kwa kutuokoa... CoET na kule SR vyoo vichafu maji Hakuna... Kwa upande wa Academic UDSM hakika bado wanajitahidi walimu wakutosha na ukilala hasa kule CoNAS mwaka wa kwanza tu wanakula Kichwa...
UDOM hapa Jamaa kimajengo wako vizuri sana hata elimu napo wako Vizuri tu japo kuna changamoto sana ya walimu hasa kule College of health sciences.. Walimu wengi ila sio wote ni masters holder... Kero zake ni maji aseeh Ni changamoto kidogo kutembea umbali mrefu kufata vipindi na Practicals Chuo hakuna vimbwete watu tunarundikana Cafe discussions... Pia Chuo hakina userious kabisa kwenye Usajili mtu unakaa miezi 3 na Huku tests unafanya Pasipo ID hawajali hata udanganyifu kufanyika katika tests... Zaidi ni Chuo hakina Prospectus za kutosha kitu kinachokufanya kushindwa kuelewa Vizuri kuhusu kozi yako.. Hata online Prospectus Hakuna... Almanac nayo ni hovyo hovyo tu mtandaoni Yaan mpaka inafika mahali unaguess tu Mitihani utaanza lini...
Yote kwa yote Vyote ni vyuo bora sana Japo vinachangamoto zake UDOM mkiboresha kidogo utendaji kazi wenu mkawa kama UDSM hakika itakuwa ni sehemu Nzuri sana kuliko mlivyo Sasa...
Mungu bariki vyuo vyetu Mungu ibariki Tanzania...
Mtoa maada nahisi ulikuwa unalengo tu la kuiponda UDOM..lakini what i tell u is that we need to be proud of what we have at this moment even if it is not perfect as we want but we have to appreciate...UDOM help most of Tanzanian until now..even if the education provided is not much competent as people talk everyday but that education raised people from one stage to another.....everywhere you go there are challenges and people are struggling to fight against those challenges..so we need to work together so that to help the next generation....
 
Kila mwaka UDSM wanatoa maengeener lakini hao wahandisi wanahishia wapi? Tenda nyingi zinazokuja za kiuhandisi wanapewa wazungu au ndo kusema wanafundishwa ili kuja kusaidia kazi na sio wasimamizi wakuu? ....All in all mfumo wa elimu unaotolewa Tanzania ni mbovu..mtu unakaa miaka 16 unasoma tu...
 
Ahsanteh kwa Mchango wako MKUU... UDOM baadhi ya vitu warekebishe...
 
Kila mwaka UDSM wanatoa maengeener lakini hao wahandisi wanahishia wapi? Tenda nyingi zinazokuja za kiuhandisi wanapewa wazungu au ndo kusema wanafundishwa ili kuja kusaidia kazi na sio wasimamizi wakuu? ....All in all mfumo wa elimu unaotolewa Tanzania ni mbovu..mtu unakaa miaka 16 unasoma tu...
Sisi ambao tumebahatika kufanya kazi ndani na nje ya nchi na hawa wazungu labda tuwape mrejesho kidogo.Ni kwamba huwa wanavisifia vyuo vikuu vya TZ na hasa UDSM.Wanauliza where did you study?Unataja UDSM.... ah okay okay...can we get another guy from Tanzania?Wanadai tunaperform kuliko Wakenya,Waghana,Nigeria,nk.Hawa wenzetu wana uwezo wa kuitana (connections) tofauti na sisi wabongo
 
Mkuu hapa bongo shida ni kwamba tunadharauliana...ndo maana hatuendelei tunaishia kuomba misaada tu kila kukicha lakini kama tungeamua kusimama wenyewe naamini kungekuwa na kitu cha kiutofauti kwa namna moja ama nyingine...
 
Back
Top Bottom