AGAPE BOY
Senior Member
- May 24, 2015
- 194
- 160
Nimeamua kuuanzisha uzi huu maalum kwa wanaoijua kozi hii na wale waliochaguliwa hapo! kumekuwa na mkanganyiko mkubwa juu ya carrier wa bachelor of science in biology juu ya upatikanaji wa ajira za hii kozi na hili limeibua hofu kwa wale waliochaguliwa hapo! so kwa wenye uelewa zaidi juu ya hii kozi njooni uzini mtupe maoni yenu! kalibuni