UDOM na Bachelor of Science in Biology

UDOM na Bachelor of Science in Biology

mnaweza mkawa mpo sahihi lakini hizo sehemu zote mlizozitaja hao watu wa kemia ni kama ziada sio kwamba ndio sehemu husika kwao (wanaunga unga) kuna kozi ambazo ni special kwajili ya hayo maeneo, kama mkemia atafanya kazi TBS, TFDA, je hawa wanaosoma hizi kozi watafanya wapi kazi zao
Bsc food science and technology
Bsc human nutrition
Bsc bioproccesing and post harvesting engineering
Bsc biotechnology and lab science
dip in laboratory technology
Bsc chemical and proccesing engineer pia kuna watu wanaosoma Bsc in general

ishu ni kwamba katika kozi hizo phy, chem, bios,na maths zote ni majanga ila wa kemia anaunafuu kuliko hao wengine, ila haina maana kwamba ajira zake ndio zipo wazi
Kozi ambazo anasoma mkemia na kuwa fit sehemu zote ni
Method of chemical analysis
Method of chemical separation
Quality control and assurance
Environmental chemistry
Medicinal chemistry
Biochemistry
Instrumental chemistry
Na nyingine nyingi ambazo ni muhimu kwenye hizi taasisi
 
mnaweza mkawa mpo sahihi lakini hizo sehemu zote mlizozitaja hao watu wa kemia ni kama ziada sio kwamba ndio sehemu husika kwao (wanaunga unga) kuna kozi ambazo ni special kwajili ya hayo maeneo, kama mkemia atafanya kazi TBS, TFDA, je hawa wanaosoma hizi kozi watafanya wapi kazi zao
Bsc food science and technology
Bsc human nutrition
Bsc bioproccesing and post harvesting engineering
Bsc biotechnology and lab science
dip in laboratory technology
Bsc chemical and proccesing engineer pia kuna watu wanaosoma Bsc in general

ishu ni kwamba katika kozi hizo phy, chem, bios,na maths zote ni majanga ila wa kemia anaunafuu kuliko hao wengine, ila haina maana kwamba ajira zake ndio zipo wazi
Kwa maelezo hayo chemistry bado huifahamu,
 
Samahani mkuu hivi Laboratory science and technology kwa Tanzania inatolewa kwa diploma tu au na bachelor pia maana sijaona chuo chochote kinachotoa bachelor isipokua nimeona mbeya university upande wa dip
 
Bachelor ndo kama hizo Bsc chemistry, Bsc biology etc
 
Sijaona shida katika hizo kozi, idara ya takwimu ni maths, idara ya mionzi ni physc na ofis ya mchemia ni chem na bios what matter ni coz gan zinadadavuliwa
 
Shida nchini mwetu hakuna viwanda vingi. Hzo course ndo zngetoa wataaalam.
 
Nimeamua kuuanzisha uzi huu maalum kwa wanaoijua kozi hii na wale waliochaguliwa hapo! kumekuwa na mkanganyiko mkubwa juu ya carrier wa bachelor of science in biology juu ya upatikanaji wa ajira za hii kozi na hili limeibua hofu kwa wale waliochaguliwa hapo! so kwa wenye uelewa zaidi juu ya hii kozi njooni uzini mtupe maoni yenu! kalibuni
Mkuu hakuna kozi zisizokuwa na matumizi.. Nakushauri chukua prospectus ya udom itakwambia hizo kozi zinamatumizi gani.. !
By the way kozi hizo zote zinatolewa mkopo na serikali kwa wanafunzi wanaozisoma sasa jiulize why ?! Watu watakuja hapa na mawazo mengi tu, lakini mwishowe wewe ndo mwenye maamuzi...! Jiulize watu wanaosoma bachelor of science General watakuja kufanya kazi gani baadae?
 
Hizo kozi zipo natural science na zote ni priority kwenye mkopo sasa wewe unadhani serikali imeamua kugharamia kitu ambacho haikihitaji?
 
hakuna kozi isiyokua na value, sema uwa inategemea tu na sera ya nchi, watu wanasema upatikanaji wa ajira za hzo kozi. na natural science n mgum, je wanaosoma kozi zngne kama procurement, human resources, accountants, business administration wao ajira zao zikoje? na kama tunavojua hapa bongo kwetu kazi zenye ajira direct uwa na ualimu, sekta ya afya pia, zngne zote ajira zake n lazma ukomae kutafuta na katika kutafuta unaweza ukakosa, kuna pipo wamesema procurement, business administration wana miaka mingi hawajapata kazi, kwahyo hayo mambo ya kupata kazi na kukosa kazi yanategemeana na jinsi situation ilivo
 
Bachelor of science in biology
Bachelor of science in physics
Bachelor of science in maths
Bachelor of science in chem
Hizi kozi ni majanga mkuu, hata field zenyewe hazina uhakika, wana pachikwa pachikwa tu sehemu yyte in short hizo kozi kwa tanzania yetu ni nonsense
Sure mkuu, me nna jamaangu anasota mpaka sasa. Hazifai hizi kozi
 
Sure mkuu, me nna jamaangu anasota mpaka sasa. Hazifai hizi kozi
uyo jamaa ako kasoma hizo course zote zilizotajwa hapo juu?,au haujui kuainisha kuwa huyo jamaa ako kasoma ipi kati ya hizo,usigeneralize vitu mkuu.
 
Back
Top Bottom