wankyomimi
Member
- Sep 11, 2018
- 46
- 36
eti wataalam kwani mtu aliyemaliza bsc in biology si anaweza kwenda kusomea kozi yoyote katika ngazi ya juu inayohusiana na biology? mfano
food science
wildlife
forestry
biotech
animal science
microbiology
na nyngn nyng ambazo weng wanazigombania kwny ngaz ya degree na hawazipati kwa hyo me naona bsc in bio ni kama daraja la kufikia malengo........