hashy1310
Member
- Dec 15, 2011
- 62
- 8
Kasoma BSc in Biologyuyo jamaa ako kasoma hizo course zote zilizotajwa hapo juu?,au haujui kuainisha kuwa huyo jamaa ako kasoma ipi kati ya hizo,usigeneralize vitu mkuu.
Kasoma BSc in Biologyuyo jamaa ako kasoma hizo course zote zilizotajwa hapo juu?,au haujui kuainisha kuwa huyo jamaa ako kasoma ipi kati ya hizo,usigeneralize vitu mkuu.
Ah,ase kwa course nying ajira zinasumvua si hii peke ake but ukipata nafas ya kuajiriwa au kujiajir ni ina faida inatgemeana na muda tu wa kupata mafanikio ya kitu ulichokisomea,but si kwa kusoma kitu usichopenda ili uajiriwe.Kasoma BSc in Biology
Kuna mwingine alisoma BSc in Physics sasa hivi ni mwalimu kwa cheti cha Diploma aliyoipata hapo awaliAh,ase kwa course nying ajira zinasumvua si hii peke ake but ukipata nafas ya kuajiriwa au kujiajir ni ina faida inatgemeana na muda tu wa kupata mafanikio ya kitu ulichokisomea,but si kwa kusoma kitu usichopenda ili uajiriwe.
Sio mbaya huenda akaja pata chance au kuajiriwa muda utakapowadia ila sio vbaya ana bachelor mana muda wowote huenda akaiendea fani yake hyo,Kuna mwingine alisoma BSc in Physics sasa hivi ni mwalimu kwa cheti cha Diploma aliyoipata hapo awali
Tusidanganyane....ukisoma Bsc kati ya hizo....una uhakika na ajira. So......what matters ....is just a good performance. Uwe na GPA nzuri 3.5 and oboveBachelor of science in biology
Bachelor of science in physics
Bachelor of science in maths
Bachelor of science in chem
Hizi kozi ni majanga mkuu, hata field zenyewe hazina uhakika, wana pachikwa pachikwa tu sehemu yyte in short hizo kozi kwa tanzania yetu ni nonsense
Wewe wasema, huyo wa Biology ana first class. Uhakika wa ajira upo kwa mwenye mtu wa kumshika mkono. Ni jamaa zangu hao wamemaliza Udom hapo 2013Tusidanganyane....ukisoma Bsc kati ya hizo....una uhakika na ajira. So......what matters ....is just a good performance. Uwe na GPA nzuri 3.5 and obove
and not otherwise
Mwabie ....achakalike ...otherwise hajiamin na degree yake ....meaning kwamba yupo shallowWewe wasema, huyo wa Biology ana first class. Uhakika wa ajira upo kwa mwenye mtu wa kumshika mkono. Ni jamaa zangu hao wamemaliza Udom hapo 2013
ye alisoma kozi gani kati ya hizo?Sure mkuu, me nna jamaangu anasota mpaka sasa. Hazifai hizi kozi
Upo sahihi mkuu, mimi nilipiga Bsc. Physics kufika mwaka wa pili bado nakutanana na practical kubwa kuliko zote ni Cathode Ray Oscilloscope ambayo nimeifanya mwaka wa kwanza semister zote. Supervisor wa lab naye ana bachelor tu ya lab technology science ya DIT. Kazi yake ni kuwapangia vifaa na kuwaambia leo mtafanya practical namba fulani. Nilijiuliza hivi hapo ndo naandaliwa kuwa mfizikia nije kufanya kitu gani katika physics? Kama kuchunguza transistor characteristics kwa kutumi CRO tu ni shida, nilikuwa disappointed sana.Bachelor of science in biology
Bachelor of science in physics
Bachelor of science in maths
Bachelor of science in chem
Hizi kozi ni majanga mkuu, hata field zenyewe hazina uhakika, wana pachikwa pachikwa tu sehemu yyte in short hizo kozi kwa tanzania yetu ni nonsense
So mwshwe unafanya kazi gan mkuuUpo sahihi mkuu, mimi nilipiga Bsc. Physics kufika mwaka wa pili bado nakutanana na practical kubwa kuliko zote ni Cathode Ray Oscilloscope ambayo nimeifanya mwaka wa kwanza semister zote. Supervisor wa lab naye ana bachelor tu ya lab technology science ya DIT. Kazi yake ni kuwapangia vifaa na kuwaambia leo mtafanya practical namba fulani. Nilijiuliza hivi hapo ndo naandaliwa kuwa mfizikia nije kufanya kitu gani katika physics? Kama kuchunguza transistor characteristics kwa kutumi CRO tu ni shida, nilikuwa disappointed sana.
Aisee hizi program ni pasua kichwa lakini hautakuwa idol mtaani.So mwshwe unafanya kazi gan mkuu
Bachelor yake ipo DIT,lakini wanaenda waliosoma hiyo course kwa level diploma pekee na si form six.Bachelor ndo kama hizo Bsc chemistry, Bsc biology etc
Huko wamejaaa laboratory technology na CPE,usiishi kwa hisia hiyo kozi ni ngumu kupata kazi huo ndio uhalisiaTBS sehemu nyingine hz hapa mkuu TFDA,TPDC,SGS ofisi ya mkemia mkuu Productions industry hasa vile vya soda na bia mahali popote palipo na maabara za chemistry unapga mzigo mkuu ckuhz mpk Police inawaitaji Hao!!!
DIT wanatoa bachelorSamahani mkuu hivi Laboratory science and technology kwa Tanzania inatolewa kwa diploma tu au na bachelor pia maana sijaona chuo chochote kinachotoa bachelor isipokua nimeona mbeya university upande wa dip
DIT bado hawaajaanza kutoa wahitimu wa digrii ya laboratory technology,huyo ni diplomaUpo sahihi mkuu, mimi nilipiga Bsc. Physics kufika mwaka wa pili bado nakutanana na practical kubwa kuliko zote ni Cathode Ray Oscilloscope ambayo nimeifanya mwaka wa kwanza semister zote. Supervisor wa lab naye ana bachelor tu ya lab technology science ya DIT. Kazi yake ni kuwapangia vifaa na kuwaambia leo mtafanya practical namba fulani. Nilijiuliza hivi hapo ndo naandaliwa kuwa mfizikia nije kufanya kitu gani katika physics? Kama kuchunguza transistor characteristics kwa kutumi CRO tu ni shida, nilikuwa disappointed sana.