University of Dodoma imetoa cozi nyingi zikilenga wanafunz waliokosa principle pass mbili yan D mbili lakini kuapply kwenye hizo kozi inatakiwa ulipie tena na wanatumia Central Admission System yao tofauti na NACTE.
Je wanafunzi waaply au ndo vile maana kuna hofu ya kutumbuliwa kama wa special diploma waliopewa masaa24 wapotee mazingira ya chuo.
Je wanafunzi waaply au ndo vile maana kuna hofu ya kutumbuliwa kama wa special diploma waliopewa masaa24 wapotee mazingira ya chuo.