Nahonyo
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 5,690
- 5,567
Unamaana kutokana nilichokiandika, leo mwenye mada amejikota kwenye majengo, mwingine ataongelea nyanja nyingine. Alafu uniuliza kijiji cha elimu ni majengo? Nani kasema, nilikua najiona mjinga kumbe wapo zaidi yangu nilidhini nitaongoza kumbe wapi.Kijiji cha elimu ni majengo?