Kwa wanaopita Dodoma lakini hawajatembelea chuo kikuu cha UDOM ninawasihi sana wakatembelee maeneo yale ya UDOM.
Ukifika pale utasema kweli hiki ndo chuo kikuuu. Watanzania wenzangu kile ni kijiji, kuna namajengo nyuma ya ule mlima acha bwana.
Kuna daladala zinashusha ndani ya campus, kwa hili ninampongeza sana Kikwete.
Nilikuwa nasikia watu wanasema ni chuo kikuu cha kata kumbe ilikuwa ni dharau za kitanzania amabazo zimejaa kudharau kizuri chetu hutu tukisifia vibaya vya wengine.
Majengo yanayoonekana ukiwa unapita Dodoma ni 10% ya majengo yote.
Safi sana serikali ya Tanzania kwa kazi nzuri