Sio Udom tu mkuu, ukiiona mloganzila - muhimbili nacho kiko bomba, ukienda Nelson mandela, na Butiama univ-JK Ana legacy kubwa sana nchi hii kuliko Raisi yoyote yule Tanzania so farUDOM ni Kielelezo cha Uchapakazi wa Jakaya Mrisho Khalfan Kikwete.
Ndio amechaguliwa udom huyoWe first year ama??
Sio Udom tu mkuu, ukiiona mloganzila - muhimbili nacho kiko bomba, ukienda Nelson mandela, na Butiama univ-JK Ana legacy kubwa sana nchi hii kuliko Raisi yoyote yule Tanzania so far
Hivi na wewe hoja inapingwa kwa kauli kama hii??ivi ww ndugu Chuo ubora wake unapimwa kwa MAJENGO TU jitathimini!! naishia hapo ctaki niwe MCHOCHEZI
Naomba weka picha tuone
Wewe umesoma chuo gani? Na kozi ipi?Chuo cha kata
Kijiji cha elimu ni majengo?Mada yake inahusu majengo sioni tatizo, la mleta mada yeye ameamua kuongelea majengo, mwingine ataongelea Elimu, kwa anae jua juu ya elimu inayotolewa hapo.
Ni kweli mkuu, ubora wa chuo sio majengo Tu, aliyeandika huu uzi nafikiri haelewi, aangalie makerere university, majengo Ni kawaida Sana lakini Ni moja ya Chou kizuri Africa.ivi ww ndugu Chuo ubora wake unapimwa kwa MAJENGO TU jitathimini!! naishia hapo ctaki niwe MCHOCHEZI
Sasa mkuu wewe kama umesoma sua ama DUCE does it make u different ?Wanafunzi waliosoma pale walio wengi wanakataliwa Sana kwenye Kazi za tempo huku mtaani cjui Kwa nini jamani
Acha kuhamisha sifa za mtu mkuu. Hatujawahi kusikia Mkapa akizungumzia.Daraja la Kigamboni kuna mwengine alisema eti ilikuwa idea ya mzungu mkoloni....political commitment ilikuwa kwa kiwango cha juu sana...na ilianzia wakati wa awamu ya tatu. Tatizo ni namna ya usimamizi na umaliziaji wa mwisho wa mambo ambao kimsingi hauhusiani na political will. Ukiangalia haya mambo yote yako kwenye vision 2025...mwisho kabisa mtakuja kutambua chama chetu kimejitahidi na kukubali kimya kimya
ukute kayaona kwa mbali tu maana tungeona hata pichaWe first year ama??
Ni kweli mkuu, ubora wa chuo sio majengo Tu, aliyeandika huu uzi nafikiri haelewi, aangalie makerere university, majengo Ni kawaida Sana lakini Ni moja ya Chou kizuri Africa.
Acha kashfa zako. Unajua Kikwete ameachia nchi hii deni kiasi gani? Ameacha deni la taifa halielezeki na mifuko ya jamii taabani.Sio Udom tu mkuu, ukiiona mloganzila - muhimbili nacho kiko bomba, ukienda Nelson mandela, na Butiama univ-JK Ana legacy kubwa sana nchi hii kuliko Raisi yoyote yule Tanzania so far