UDOM iitwe Jakaya Kikwete University

Wazo lako ungeliandika twitter ndo JPM angeliona kama la MO alivyo sema uwanja uitwe Mkapa, JK university poa tu maana halinisaidii chochote ila ni heshima kwake
 
Wakati mwingine majina yana mkono wa kisiasa zaidi kuliko uharisia.
Lakini kwa UDOM,JK amecheza kama Pele,alitenga eneo kubwa sana la kutosha kwa matumizi ya miaka mingi mbeleni pia kwa sasa ni uwekezaji mkubwa wa elimu ya juu labda kuliko chuo chote chote Africa Mashariki.
Kwa bahati mbaya kuna watu wengi hawalioni hilo,na Kikwete hapendi misifa yeye anapenda kusafiri.
 
Ngoja afe kwanza
 
Yule mwamba anaitwa Fidel Castro nilimkubali sana,alikataa jengo/barabara yoyote ile nchini kwake kuitwa jina lake na akasema akifa anataka achomwe moto na ikawa hivyo.
 
Kabisa mkuu
 
Na Tanzania iitwe Nyerere. Naomba kuwasilisha
 
Na Tanzania iitwe Nyerere. Naomba kuwasilisha
Sio Tanganyika mkuu ndio iitwe Nyerere, halafu Zanzibar iitwe karume, halafu ukiunganisha Nyerere na karume tupate NYEREKARU ndio liwe jina la TANZANIA😀. Hatari sana.
 
Hivi haya yanaingiaje?????kama tuko kwenye mashindano vile.

Taifa liko kwenye maombolezo,tuomboleze mambo ya huyu alifanya hili yule alifanya kile tuachane nayo
 
mbona itakuwa shida sasa maana vya JK vipo vingi sana:

- Flyovers zote ziitwe JK1, JK2, etc
- DART iitwe JK
- Mloganzila iitwe JK
- mabarabara thousand kms ziitwe JK
- uchumi wa kati uitwe "uchumi wa JK"
- nk
 


Tuache kuingiza Siasa kwenye elimu. Kama kafanya vitu viwekwe kwenye rekodi zake.
 
mbona itakuwa shida sasa maana vya JK vipo vingi sana:

- Flyovers zote ziitwe JK1, JK2, etc
- DART iitwe JK
- Mloganzila iitwe JK
- mabarabara thousand kms ziitwe JK
- uchumi wa kati uitwe "uchumi wa JK"
- nk
No Udom ni picha halisi ya JK
 
Hivi haya yanaingiaje?????kama tuko kwenye mashindano vile.

Taifa liko kwenye maombolezo,tuomboleze mambo ya huyu alifanya hili yule alifanya kile tuachane nayo
Tusisubiri viongozi wafe ndiyo tuanze kutoa sifa
 

University of Dodoma (UDOM) itabaki hivihivo kama UDSM ilivyo! Dodoma ni makao makuu ya nchi. Period.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…