UDOM College ya Education kuna uhaba wa Maji

UDOM College ya Education kuna uhaba wa Maji

FUHRER

Member
Joined
May 29, 2013
Posts
87
Reaction score
644
Mpaka ninavyoandika huu uzi, hapa UDOM education hakuna aliyeoga wala kujisaidia, kama kuna mtu basi hajaflashi, na hii ni kawaida sana hapa UDOM mtu kutoflash, si wanawake si wanaume wote tushazoea mambo haya maana hata ukimuuliza akikwambia umpe maji utamjibuje? UDOM maji hakuna halafu hakuna vyoo vya nje, ni shida.

Baadhi ya wanafunzi wamekuwa wabunifu kwa kuandaa utaratibu wa Kujisaidia kwa pamoja (yaani COLLECTIVE PEEING), yaani mnajiorganize chumba kizima mnaenda kujisaidia asubuhi, wa mwisho ndiye atakayeflash, hivyo kujikuta mmetumia ndoo moja ya maji watu wanne.

Hakuna anayeona kama hili ni tatizo linalotakiwa kutatuliwa kuanzia utawala hadi uongozi wa wanafunzi hakuna anayejali

NB: Kama kuna mtu anabisha aje sasa hivi hapa

UPDATE:
Kuna msela kakata gogo bafuni nusu saa iliyopita. Wakuu hali tete!!
 
bloc p,t,q na o hali ni tete. vyoo vimeziba hakuna anayejali. auncle Magu ni zamu ya UDOM njoo a see...
 
Oya nendeni pale cafteria kwa mwarabu maji ya kumwaga tu me nimeoga pale mda si mrefu
 
Jaman Panden Daladala Mpaka College Of Informatics, Maji Ni Mengi Mno Lakn Vyoo Ndio Hatari Vimezba
 
Sasa kama ninyi ni wasomi mnafanya nini hapa kama hamuwezi kutauta tatizo lenu la maji na kuflash vyoo. Mnataka nani aje kuwasadia? Maana ya shule ni kupata uwezo wa kupambana na mazingira yako ili upate kuishi kwa amani na furaha. Tumieni bongo zenu kutatua hilo enyi madogo ya dot.com. Kama hamuwezi kulazimisha basi ombeni mtapewa tu maji. Mkishindwa tangulieni wenyewe kwenye hospitali teule za kipindu pindu. Ebo?
 
Mtoa maada mimi naweza nikakubalina na wewe lakini nisikubaliane kwa upande mwingine hasa unaposema kujisaidia kwa pamoja kama ulovyo eleza, najua tatizo la maji sio chuoni kwenu tu hata vyuo bingine huwa vinapata matatizo hayo hivyo nikuombe uchukulie ni changamoto kama changamoto nyingine,
 
mtoa mada upo sahihi na mzingira mabaya kwa ukosefu wa maji katika collage za chuo kikuu Dodoma lakin kama wewe msomi unatakiwa kutatua tatizo hilo kisomi sasa unataka nani akusaidie pambana mwenyew kama msomi jua kujitofautisha na watu wa sio na Elimu>>>>>>>>
 
njoeni huku social ni fulu shangwe na vigere gere maji ya kumwagwa ila sasa inategemeana na block kama mfano mimi block 01 ni burudan tu maji yapo hadi kwenye vyoo yaan ukijisaidia ni mwendo wa mseleleko tu kuji selfie kwa ku flash sisi huku social kupo BOMBA polen nyinyi wa educatio
 
njoeni huku social ni fulu shangwe na vigere gere maji ya kumwagwa ila sasa inategemeana na block kama mfano mimi block 01 ni burudan tu maji yapo hadi kwenye vyoo yaan ukijisaidia ni mwendo wa mseleleko tu kuji selfie kwa ku flash sisi huku social kupo BOMBA polen nyinyi wa educatio

Social wapi ww wkt mablock mengine maji ni shida tupu...ki ukweli hili swala la maji litafutiwe ufumbuzi wa haraka na wahusika
 
ndo maana nakizarau sana hiki chuo kuanzia wanafunzi wake hadi elimu inayotolewa hapo
 
Back
Top Bottom