Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,732
- 6,631
Weka ushahidi kusupport thread yako, vinginevyo tutakuchukulia kama mchochezi tuMiongoni mwa vyuo vya zoa zoa ni Dodoma hiki chuo kinamambo ya ajabu sana
Yaani kweli divisheni four mtu anasoma university
Au ndo maana wanakiita cha kata
Hongo udom au TCU?, nani ana dahili wanafunzi kati ya chuo na TCU?Tatizo ni pale wanaporuhusu hongo
Hivi wewe utaifananisha UDOM na Teku? Si wendawazimu huo, Teku kwa ubora UPI sasa walionao?Bora usome hizo RUCO, SAUT au Theofilo kisanji n.k kuliko UDOM ya Kata.
jifunze matumizi ya l na rUmeona sasa hujachaguriwa wa kwanzakuraumu umechaguriwa kuridhika vigumu kwani were una four waache wenye four nao ni binadamu kama wewe
Wasomi wamezoea sana kudharauliana ndo maana hatuendelei, ajira hakuna lakini kwa dharau na kibri walizonazo wanashindwa hata kufungua store ya mkaaWw msomi umefanya nn cha kisomi ili hata wanaojifunza wajifunze kwako? Kama sio usomi Wa kimajungu
Hivi tatizo ni Ubora au tatizo ni Uchanga wa chuo? Kitu chochote kipya kikianzishwa lazima kipitie changamoto zake lakini isiwe sababu ya kutoa matusi na kejeli kwa wadogo zetu wanaosoma hapo kuwa wote ni ma mbumbumbu No tunawakosea kuwa chuo cha Kara haimaanishi kuwa hakiwez kufanya vzrNazungumzia udom chuo cha katalyist
Miongoni mwa vyuo vya zoa zoa ni Dodoma hiki chuo kinamambo ya ajabu sana