Sie ambao hatujawahi kusoma vyuo vikuu tuna shida sana, tokea tulivyokaririshwa kuhusu UDOM basi imekuwa nongwa! mtoa mada si ajabu hata VETA hajasoma ila anajifanya kuponda UDOM ili tumdhanie kuwa na yeye amepiga kitabu. Tulia tu kama mimi na darasa langu la saba, lakini ni member JF sijafukuzwa kwa kuwa sijasoma.🙁🙁