Miongoni mwa vyuo vya ZOA ZOA ni Dodoma hiki chuo kinamambo ya ajabu sana
Yaani kweli div four MTU anasoma university
Pumbafu kabisa ndo maana wanakiita cha kata
Labda kwakuwa UDOM kina uwezo wa kudahili wanafunzi wengi sana, ukilinganisha na vyuo kama UDSM, ambapo ushindani unakuwa mkubwa, kwahiyo wanaishia kuchukua division za juu.
Ingawa katika kulinda ubora wa elimu haiingi akilini kumsajili mwanafunzi aliepata divison four, huo ndio ukweli hata kama unauma. Ingawa division four bado ananafasi za kujiendeleza kupitia mifumo ya aina ingine, ila kwa degree hapana.
bwana mdogo utaweweseka sana, mwisho wako ulikuwa tarehe 2/5/2016 ndani ya chumba cha necta.
utakuja kwa yeezus, uta appeal mitihani, utaandamana, utagaragara, utatukana, lakini mwisho wako ulikuwa pale ulipokuwa unahesabu mabati wakati wengine wakilicharaza booklet.