Udom----announcement for second and third year students

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,875
1,213
UDOM----ANNOUNCEMENT FOR SECOND AND THIRD YEAR STUDENTS
The University of Dodoma informs all continuing students that registration
will be carried out at Jamhuri Stadium in groups as follows:

· Thursday 20th October 2011, Second year Students in the
College of Humanities and Social Sciences

· Friday 21st October 2011, Second year Students in the
Colleges of Informatics and Virtual Education, Natural and
Mathematical Sciences, Earth Sciences, Education and Health
Sciences.

· Saturday 22rd October, Third year Students in College of
Humanities and Social Sciences.
· Sunday 23rd October 2011, Third year Students in the
Colleges of Informatics and Virtual Education, Natural and
Mathematical Sciences, Earth Sciences, Education and Health
Sciences.

Reception for registration for all students will be 8.00 a.m to 5.00 p.m
All Students are required to pay tuition fees and direct costs by 30th
September 2011.Those who fail to comply with this notice will not be
allowed to register for academic year 2011/2012.

Structure and mode of payment is given at the University website
NOTE: STUDENTS ARE ADVISED TO ABIDE ON THE ASSIGNED
DATES.CLASSES WILL START ON 24TH OCTOBER WITHOUT DELAY
 

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,536
5,642
Kazi ipo udom. Majengo yote yale hayatoshi wameamua kupeleka uwanjani!!
 

gwino

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
335
47
Miaka 50 baada ya uhuru kwa ishu hii nashindwa kuelewa km tunasonga mbele au tunarudi nyuma
 

pangalashaba

JF-Expert Member
Jan 10, 2011
1,238
1,345
hivi maamuzi ya kuwapeleka hawa vijana uwanjani yanatolewa na professors au wahuni!!!!? ama kweli wengi wameleweshwa madaraka.... kama ndo hivi ni nini maana ya kuwa na ofisi? aaaaaaaaaarg,mambo mengine inakera sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Sabry001

JF-Expert Member
Jun 28, 2011
1,064
353
Sasa huo uwanja uko wapi kwanza? Na wataanza masomo tar 24 kweli? Sasa wataregister na masomo cku hyo hyo au...! Aaaagh! Wananichosha akili hawa pimbi!
 

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,536
5,642
Bora ingekua siasa tu Udini umezidi uliza GPA za wakristo wanavyoset.Kama jina lako halina element ya Kiisilamu maisha UDOM utayachukia!

GPA zinatokana na dini.? Tanzania tuna safari ndefu.
 

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,536
5,642
hivi maamuzi ya kuwapeleka hawa vijana uwanjani yanatolewa na professors au wahuni!!!!? ama kweli wengi wameleweshwa madaraka.... kama ndo hivi ni nini maana ya kuwa na ofisi? aaaaaaaaaarg,mambo mengine inakera sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

hapo kuna wizi unafanyika. Kuna fungu limeandaliwa kwa ajili ya kukodisha uwanja. Wizi mtupu.
 

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,536
5,642
Mwezi wa 4 nilibahatika kufika udom, nilizinguka sana, kuanzia Humanities hadi Health Science. Ofisi zipo nyingi sana.
Sababu za kuwapeleka uwanjani ni kwamba ofisi hazitoshi au? Majengo yote yale hayatoshi kufanyia registration. Uhuni mtupu.
 

joyce wande

Member
Aug 15, 2011
14
5
uongoz una kchaa kwel, wanataka 2lipe ela wakati wengne 2nategemea mkopo ndo 2pate ela ya kulipa eti trh 30 wana kchaa kwel
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom