Udom Admission letters

GHANI

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
670
250
Habari za shughuli wana jf.Kuna kijana mmoja mkazi wa Kigoma amenitumia sms alitaka kujua je admission letters kwa undergraduate 2011/2012 udom zimeshatoka, na kama tayari je utaratibu wa kuzipata atatumiwa au inabidi atoke kigoma kuzifuata kwa mwenye taarifa tunaomba amjuze, nimecheki kwenye website yao hakuna taarifa zozote.kila la kheri.
 
Bukijo

JF-Expert Member
Jul 28, 2010
208
225

UDOM mambo yao yako very slow mno sijui kuna nini pale,bado hawajatoa hizo admission letters make kila mtu anaziulizia wao wanachokazania tu ulipwaji wa ada et by 30th Sept ndo mwisho wa kulipa hali wakijua hata Joining instructions haziwafikia walengwa nahisi kuna uzembe mkubwa chuo hiki!.
Any way kama ameshaona jina lake limo kati ya waliochaguliwa anaweza kuanza maandalizi ya kuja chuo mapema ili aprocess inshu za admission akiwa Dodoma.
 
Spellan

JF-Expert Member
Jun 15, 2011
307
195
Kwa taarifa walizonipa udom admin, ni kwamba, admission form nizakudownload net, unaingia kwenye web ya chuo- admission then unaingiza form four index no yako na password ni sir name yako. But still hata mie napata difficulties juu ya dogoraz, nimejaribu net lkn chenga licha ya safari kadhaa nilizoenda pale chuoni, wananipa majibu yasiyojitosheleza, mara net, mara Dr. mvungi anashughulikia,, too much sarakasi.
 
ok ndugu na kuhusu joing instructions wameshatumiwa, nakumbuka kipindi najiunga udsm zote i mean joining instructions and admission letters tulikua tunazifuata chuoni.kama ndio hivyo hicho chuo kinahitaji mabadiliko they ar not serious in serious issues.
 
Sabry001

JF-Expert Member
Jun 28, 2011
1,064
1,195
Last year walinitesa sana hawa pimbi. Mwambie aende tu chuoni tarehe za kufungua na hzo mambo atavikuta pale administration. Pia km vipi alipage na ada kabisa kuepuka kwenda kuzimia kwenye foleni za crdb. Karibu UdoM, KARIBU NG'ONG'ONA kwa wajasi!
 
Pdraze

JF-Expert Member
Sep 15, 2011
616
500
ok ndugu na kuhusu joing instructions wameshatumiwa, nakumbuka kipindi najiunga udsm zote i mean joining instructions and admission letters tulikua tunazifuata chuoni.kama ndio hivyo hicho chuo kinahitaji mabadiliko they ar not serious in serious issues.

wameshatumiwa mi mdogo wangu keshapata huyo sijui vp
 
Kijuche

JF-Expert Member
Aug 26, 2010
421
225
Last year walinitesa sana hawa pimbi. Mwambie aende tu chuoni tarehe za kufungua na hzo mambo atavikuta pale administration. Pia km vipi alipage na ada kabisa kuepuka kwenda kuzimia kwenye foleni za crdb. Karibu UdoM, KARIBU NG'ONG'ONA kwa wajasi!

Karibu SwaSwa pia.
 
Emeka Onono

Senior Member
Jul 3, 2011
114
0
Last year walinitesa sana hawa pimbi. Mwambie aende tu chuoni tarehe za kufungua na hzo mambo atavikuta pale administration. Pia km vipi alipage na ada kabisa kuepuka kwenda kuzimia kwenye foleni za crdb. Karibu UdoM, KARIBU NG'ONG'ONA kwa wajasi!

ng'ong'ona oyeee! Dah nakumbuka nilipokuwa pale
 
Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,531
2,000
Kuna mambo hayahitaji kuja jf. Ila udom kila kitu wanakuja kuuliza jf. Shame.
 
CHIPANJE

JF-Expert Member
May 1, 2011
314
195
Okay,jambo la msingi ajiandae na mandalizi ya kwenda chuo kwani hata akifika pale chuoni anaweza kuprocess na kuendelea kufuatilia kupatiwa udahili.Asihofu!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom