Vurugu mbalimbali zimejitokeza ktk kuhitimisha kampeni ktk kata ya Majengo leo.mpaka ninavyoongea vyama vya cdm na ccm vyote vimefungua kesi polisi,Cdm wakilalamika vijana wa Ccm,kuingilia mkutano wao,na kupigwa kwa kada wao,na Ccm nao wakilalamika,kupigwa kwa kada wao.mpaka sasa Mbunge wa vt maalumu Cdm,MH.Naomi Mwakyoma,na baadhi ya viongozi wanahojiwa polisi.na wakati huo huo,kundi la vijana wa Cdm,wanailinda nyumba ya kada wa Ccm kata ya Nzovwe,kwa kuhisi kuwa kuna maboks yenye kura bandia,mengine ntaendelea kuwajuza!