Gongagonga
Member
- Sep 22, 2009
- 25
- 1
Nijuavyo mimi huko nyuma kulikuwa na kamati maalum iliyokuwa inakaa na kujadili hizi scholarships ikiwemo shortlisting ya applicants mpaka award. Lakini kama ni kweli katibu mkuu amegeuka kuwa ndo kamati peke yake na kufanya maamuzi yote peke yake ni tatizo kubwa na halistahili kufumbiwa macho.
Huyu JK ni kuhakikisha hapiti mwakani! Kwanza huko Ikulu naona ame-overstay! Wakristo tukimwongezea JK miaka mingine mitano tumeliwa, huyu ni Rais wa waislamu pekee, ndio maana ameyaweka mambo ya kiislamu kwenye Ilani ya Uchaguzi, 2005, ameruhusu mijadala ya Kadhi na OIC bungeni na hatimaye kuamua kuunda Mahakama za Kadhi! Mpaka hapo hamjashtuka tunapelekwa wapi? Oh, wake up pls!
Acheni kuzungumza upumbavu......njooni na data hapa.
Ni wanafunzi wangapi wamepata schorlaships??????na kati yao hao
wangapi ni waislamu????????
Mtasema mpaka mtachoka; lakini Waislamu washaanza kuchamka ndiyo maana mnaanza kuogopa. Nyerere alipokuwa anawapendelea Wakristo mlikaa kimya, sasa hivi mnaanza kulalamika kwamba udini upo chuo kikuu Dodoma, mara Wizara ya Elimu, kazi kwenu.
Wizara ya Elimu inayoongozwa na Alhaj Jumanne Maghembe (MB) akisaidiwa na Hajjat Mwantum Mahiza (MB) hivi karibuni kumekuwa na malalamiko ya upendeleo hususan katika ugawaji wa Scholarship za kwenda kusoma nje. Katibu mkuu wa wizara hii ni Alhaj Khamis Dihenga
Jamaa yangu wa karibu wizarani kanitonya kuwa jamaa wana mkakati wa kusomesha vijana wao wengi iwezekanavyo eti wameonewa sana na sasa ni zamu yao.
Kimsingi hakuna tatizo waislamu kupata nafasi hizo, lakini hata kama kuna mkristo kazidi sifa bado anakatwa ili nafasi apewe muislamu hapo ndio tatizo langu lilipo.
Jamani hili taifa lnakwenda wapi sasa haya mambo kwa si ya kuya zarau kuna njama za kuisilimisha nchi hii.
Mimi namshangaa JK iweje wizara moja aweke waislamu watupu? kuna kitu kinapikwa hapa tuwe macho
Kuna islamisation kidogo kidogo Bongo!

Naona udini unaanza kuchukua sura ya ugaidi,yaani panapoongelewa udini ni lazima utakuwa unaongelewa uislam.Akifanya muislam kaharisha,akifanya mkristu kanya.Wakristu wakijazana ofisi moja hakuna tatizo,ila wakikaa japo waislm watatu ofisi moja,tayari hapo pana udini.Sasa kweli hii hoja,eti kikwete kaweka waislam watupu wizara ya elimu,ebu tuchukulie ni kweli.Hivi tukianza kuhesabu ni ofisi ngapi zina wakristu watupu,si tutamaliza kesho.Mnataka muwe nyie tuu kila mahali.
Maswali? Jamani kuna Maswali? hakuna.
Mwacheni Dihenga achape mzigo mlipopewa wizara hii mlibinafsisha MICHEZO HADI MASOMO YA BIASHARA.
alikuwa akisadiwa na katibu mkuu mkristu na naibu wake MAMA KABAKA nae alikuwa mkristu,baada ya sakati la Ukraine na matatizo mengi JK akaibadilisha wizara hiyo nyeti aliyowapa wakristu wakashindwa kuongoza.