Udini umepiga hodi UDOM!!!


acha izo kwa hiyo kikula akisema ndo msahafu amesema mangapi ya uongo,na mi kweli ni kimvuli pale wewe ni hewa unaona mambo juu juu tu na kueneza izo chuki zenu mnaacha kusoma mnapoteza mda kubishana na dini zenu wakati hata uhakika wa kwenda pepön hamna usikurupuke na kuropoka.
 
Udom ina matatizo kila kona, ni ndoto kutoa Elimu bora.
 
Most of assistant lecturers and tutorial assistants wana tabia za kitoto kitoto (Mwita25 included). Hata kama kusingekuwa na udini bado future ya hicho chuo iko mashakani kwani chuo hakiko mikononi mwa watu sahihi. Tangu lini JK akafanya planning zikawa za uhakika?
 
Huwa napenda sana kukutana Na vilaza kama wewe.
Unaeupinga ukweli uliowazi unabishana Na mkuu wako.Pdraze usibishe kama hujui,Na hakuna anaeongea Mazuri Mwenye tiketi ya kwenda peponi,peponi ni hapahapa duniani,Atuwezi ficha ukweli kwa sabb kuna Ma Pdraze wengi Tanzania hii.
Kama Uislamu wenyewe Unamatatizo itakuwa Ukristo na Uislamu?
Kujua yanayotendeka UDOM si lazima uwe Msomaji Pale,NAHISI wewe ni KIKUNDI KAZI CHA KUPAMBANA NA BLOGU ZINAZO SEMA UKWELI KUHUSU USHENZI WA UDOM,

Ntawalipua Wote hapo Udom na Wasio jua wajue nini kinaendelea,Na uangalie usije pita mbele yangu.

Hii nchi ni ya wazawa na wazawa ndo sisi,UKWELI UTASEMWA TU.

Informatics ni block 3 kuna chumba hicho idadi ya watu pale ni chache

Education na Social hela zao za misikiti zililiwa,ila zipo sehemu maalumu za kuswalia.

Hakuna chuki juu ya UDOM bali Hatuyapendi yanayofanyika pale,
 
Naomba kuuliza jamani ni kweli kila block(bweni) hapo UDOMU kuna chumba special kwa kusalia waislam?Tujurishane.

hiyo kawaida hata huku ughaibuni nilipo kila international student dorm floor ya pili kuna full furnished room kwa ajili ya hawa ndugu zetu. lakini wa dini Nyingine hawana . maybe sababu wenzetu wanatakiwa wa sali mara tano kwa siku ... nikiwa neutral sioni kwamba its a big deal
 


ondoa udini hapa......
 
You said it yuorself!
Kwani ajira inatolewa kwa kufuata dini. Imani yangu ni kuwa ajira chuo kikuu huwa ina vigezo maalum. Sasa kama mtu ana sifa stahiki tumwengue kwa kuwa ni dini fulani? Nundependa kuamini kuwa kama imetokea kuwa walioajiriwa wengi ni wa dini fulani, basi ni "coincidence" na siyo harua za makusudi.
 
hakuna cha kujadili hapa kwani mada zote za udini huwa haziishi kwa hoja bali kwa matusi, tuheshimiane. Mimi naishi na wakiristo wa3 in a room pale udom na huwezi amini tumekua kama ndugu hata nikisahau kuswali wananikumbusha, sasa hizi ishu za chuki zitatufikisha pabaya.
 

big up brooooooooooooooda i like it.
 
jamani mi nategemea kuanza masomo km 1st year hapo udom,sas nnapoziona thread nyng ambazo zimekuwa zikiizungumzia udom kwa mabaya huwa naumia sn na ht wkt mwengne kujutia maamuz yang ya kwnn nlichagua hcho chuo!jamani mi nlkuwa naomba mukipumzishe hk chuo au hat km kuna mazur ya chuoni hapo bc yasemwe pia na sio kl kukicha kukitupia madongo tu,coz kwa namna hii hatutaweza kufkia malengo yetu ktk elimu.na kuhus huo udini mi cn uhakika ila nijuavyo mm ni kwamb udom ni SECULAR UNIVERSITY,Sas huo udini unakujaje hap?jamani hebu tujaribuni kufuta hy mitazamo hasi juu ya hk chuo.
 
yani ungesema kwa uwazi tu kwamba dini yenyewe ni ya wale wanaongoza kwa kujilipua wakiwa na akili ndogo kuwa wataenda peponi kwa kutetea dini iliyoanzishwa na mfanyabiashara na mpenda wake za watu................kiukweli hali ya UDOM inatisha, wabongo acheni ubishi.....afu kuwa wazi zaidi kwa kutaja mwenye ofisi na siyo ofisi yote......another thing....hawa waislam hata ukiwawezesha vp, hawawezi, marehem sheikh yahya alisema siku moja, ili sehemu/ofisi/nchi yoyote iendelee, lazima kuwe na mkristo.............we cheki katika utawala upi wabongo waliishi kwa amani na utulivu, pamoja hela haikuwepo, lakini hatukushuhudia vifo na fujo kama tunavyoshuhudia saiv......GOD BLESS AFRICA, GOD BLESS TANZANIA, GOD BLESS CHRISTIANS.......
 
Basically;UDOM kuna tatizo kubwa la msingi,kwa namna mambo yanavyoenda nadhani tutegemee uharo mtupu kwenye chuo hiki....
 

UPUPU+PUMBA,acha kuwaponda waislamu kias hcho.
 
Ipo cku wa2 watazichapa kavu kavù cos of udini hapa jf..me simoooo,ya kwa maboko yenyewe yananishnda ndo ntayaweza ya kwa kikula na mlacha!!
 
Macho yote yameelekezwa Igunga. Petty issues like this don't even deserve a room in here. I'm wondering how was it missed by mods sieve.

leo nimeamini wewe ni MWITA25.DA! We jamaa ni kichaa.umebinua elufi za jina.mpangilio wa maandishi yako umekushitaki.hovyooo!
 
Macho yote yameelekezwa Igunga. Petty issues like this don't even deserve a room in here. I'm wondering how was it missed by mods sieve.

Mwita25 umezoe mambo ya kinyume mpaka unajinyumesha jina lako? We mkare
 

hakuna zuri UDOM! Labda upatikanaji wa room,na majengo meupe.
 
twambie kama wana vigezo au hawana? tupatie pia data za vyuo vikuu vingine vya umma kama udsm, muhas, sua n.k.
 

kweli we msomi we nenda kasome hao wasikukatishe tamaa hata hawaijui udom na ukiangalia weng wanapinga kila jambo lililofanywa na utawala ulio madarakan lakin ni mahali pazur pa kusomea na wanajitahidi kuboresha kila siku..matatizo yapo vyuo vyote vya Tz lakin macho wanapeleka udom huon kuna kitu special hapo..2wasiliane just pm me
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…