Udini umepiga hodi UDOM!!!

Aisse!! Ndio maana Gadafi alipigwa na Nato moja ya vi2 vilivyomsababishia ni sera yake ya kutaka kusambaza uislam Duniani ndio maana nchi nyingi za afrika amejenga misikiti ikiwemo Tanzania, Uganda etc...So kama Tanzania nayo...............Bac ipo cku................
'' Na Mwenyezi Mungu anawajua vyema maadui zenu. Na Mwenyezi Mungu anatosha kuwa Mlinzi, na Mwenyezi Mungu anatosha kuwa Msaidizi'' Quran An Nisaa 45.
 
'' Na Mwenyezi Mungu anawajua vyema maadui zenu. Na Mwenyezi Mungu anatosha kuwa Mlinzi, na Mwenyezi Mungu anatosha kuwa Msaidizi'' Quran An Nisaa 45.

unapoteza muda kuandika aya tukufu humu watu wamedata ful Udini watakutukania kitabu chetu bure better waache tu kwani hata lengo la kuumbwa hawalijui
 
wakiajiliwa walimu wengi wa dini fulani hapo udom itasaidiaje waumini wa hiyo dini kwenda peponi? au malengo ya dini yamegeuka siku nowadays?
 
Kwa kupost topic yako dhaifu na ya kichonganishi kama hii unataka kutuambia luwa na wewe unaingiza udini kwenye jamii forum?..hivi ulikosa topic za kuangalia mpaka ukapost hii?..kabla sijaendelea kukuhoji naomba kujua i.q yako,je ni zaidi ya ishirini?..endapo ni chini ya hapo tafadhali don't reply tuepushiane mabalaa yako!!!!
 
unapoteza muda kuandika aya tukufu humu watu wamedata ful Udini watakutukania kitabu chetu bure better waache tu kwani hata lengo la kuumbwa hawalijui

hii aya umetoa kitabu gani? kama mungu ndie mlinzi basi tusingeona wanafanya ibada huku AK 47 zikiwa migongoni!
 
wapuuzi wakubwa tena wa,,senn,,,mmekosa mada yakuongea hapa mnaleta udini wa kijinga usio na maaana! Kama kikwete anachagua waislam na huyo nape na mkama waislam? Anna makinda muislam? Toeni upuuzi wenu wakinafiki
 
kweli we msomi we nenda kasome hao wasikukatishe tamaa hata hawaijui udom na ukiangalia weng wanapinga kila jambo lililofanywa na utawala ulio madarakan lakin ni mahali pazur pa kusomea na wanajitahidi kuboresha kila siku..matatizo yapo vyuo vyote vya Tz lakin macho wanapeleka udom huon kuna kitu special hapo..2wasiliane just pm me

we ndo sufuri kwelikule kwetu ungeitwa kiraza inaa maana wanaoandika hapa wanabuni, tunaoandika happa ni wasomi kutoka amaa tupo chuo hiko, bora shulle ya kata kuliko chuo cha kata, kile si chuo ladba wangesema ni bohari ya mahindi ningekubali, najuta degree yangu ya kwanza kuichukulia UDOM,

GOD KILL AND CURSE THIS INSTITUTION
 
hameni wote wana cdm
 
utahira huo af utakuwa unazunguka na mabahasha kuomba kazi na matokeo ya udom leo unasema unajuta kusoma pale nakuonea huruma kilaza ambaye hujiamin na unaeshindwa kufanya maamuzi kwani we mbuzi ulivutwa na kamba kwenda udom..af hauna hata haya kutangaza eti najuta utajuta sana
 
we ndo sufuri kwelikule kwetu ungeitwa kiraza inaa maana wanaoandika hapa wanabuni, tunaoandika happa ni wasomi kutoka amaa tupo chuo hiko, bora shulle ya kata kuliko chuo cha kata, kile si chuo ladba wangesema ni bohari ya mahindi ningekubali, najuta degree yangu ya kwanza kuichukulia UDOM,

GOD KILL AND CURSE THIS INSTITUTION

utahira huo af utakuwa unazunguka na mabahasha kuomba kazi na matokeo ya udom leo unasema unajuta kusoma pale nakuonea huruma kilaza ambaye hujiamin na unaeshindwa kufanya maamuzi kwani we mbuzi ulivutwa na kamba kwenda udom..af hauna hata haya kutangaza eti najuta utajuta sana..Af et wanaoandika hapa wasomi usomi wako wewe upo wapi unaamin chochote anachosema msomi hata kawambwa ni msomi mbona aliwadanganya? Lol wasom wa Tz bwana
 
ama kweli we mchuzi eti unapinga anachosema mkuu wako,uongo ni uongo no matter who say it sasa we umekulia familia za kidictator huko mara unaamin kila analosema mkubwa dah nyie vilaza mnabebwa na hili jina la GT..siwezi kutumiwa mimi kueneza ujinga sio mjinga mim ila na mashaka na wewe unapiga kelele af huna solution ya Tatizo kaa kimya..hauna upatriot wowote kama ni kulalama tu na usomi wako wa kujua kusoma vitin.
Mi na akili zangu nikasome UDOM chuo cha ki upupu.
We watetee,wing c hoja uchache ndo chachu,chachu ya ubaguz ndo mbaya.
 
Naomba kuuliza jamani ni kweli kila block(bweni) hapo UDOMU kuna chumba special kwa kusalia waislam?Tujurishane.

Nyambafu !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! mtasema kila darasa lina msikiti !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mi na akili zangu nikasome UDOM chuo cha ki upupu.
We watetee,wing c hoja uchache ndo chachu,chachu ya ubaguz ndo mbaya.

hv udini nin definition yake? Waislam ndo wadini tu? Tukisema hvyo kumbe uislam ndo dini peke yake basi ktk "UDINI" ubaguz hakuna mnameza propaganda waislam wakisema wakristo weng ktk gvmnt wanasema eti Upupu huo...navyojua wenzetu hupenda kuona waislam hawasomi hawana mali nk. Kwanin? Ebu nijibuni hili swali udini ni waislam tu?
 
uongo mkubwa na wakijinga pale wakristo ni weng kuliko waislam na wakristo wana madhehebu meng na kila dheheb lina block lake waislam wana chumba kimoja tu.

Acha {tendo la kutoa taka ngumu mwilini} wewe! Kila block pale education kuna chumba cha kuswali, wakristo mbali na maholi waliyopewa kwa ibada kama wenzio waislam, wanafanya ibada zao borini chini ya uwanja wa mpira au mlimani nyuma ya block M. Usibishe ili mradi unabisha.
 
Back
Top Bottom