Serikali haihusiani na Imani zenu
Kwani mkiwatafuta wanakataa? labda linapokaribia suala la kuoana
Wanasema Mwanamke hana DINI km mkipendana Mkuu wa Wilaya au Katibu Tawala wake atawapeni Cheti ambacho ndicho hichohicho kitolewacho na Padri au Sheikh
Mimi ni Mkristo lakini nimeoa Muislam na nyumba zangu ndogo zote ni Waislamu Kennedy na Jambo 1 Serikali haihusiki na kusali kwenu au kuoa nyie ni Wakristu tafuteni Waislamu watawapenda tu na mtaamua km mbadili DINI muwe Waislamu Serikali haitahusika. Bado Waislamu wapo na hata Wapagani hizi tafrani za DINI mbili zisitukwaze kwani kuna Budha nk na hakuna aliyerudi toka waliko wafu wakatuelezea kuwa huko wanasali
Ila ndiyo tulipofika bila kutafuta wa Imani yako
ni tabu ila ukweli Serikali yetu inasababisha yote
Leo asbh kuna dada kanambia wazi kuwa wa imani yake hawajaisha hivyo hana sababu
kutafuta wa Imani nyingine
Hali ni tete sana ndugu.
Ila hli suala la vikwazo ktk ndoa kutokana na dini tofauti sio suala jipya. Suala hlo limekuwa kikwazo toka enzi. Mimi pia ni muhanga wa hlo. Ila kwa sasa chuki ndo znaongezeka.
Msela wangu yeye wameachana yeye alikuwa RC mama Muislam walikuwa wamezaa mtoto alikuwa anaitwa Catherine Sasa wamemuita Sumaiya... hata simu za jamaa hapokei kabisa, ingawa Kabla ya hapo kila Mtu alikuwa na Uhuru wa kuabudu kivyake ila Hali ilibadilika baada ya vurugu za Buseresere na mwanaume kudai Waislamu wana makosa
duuh,,ki2 c k2,,hali c hali,,mi yashanikuta juziiii,,mdada m1 amenikataa sababu ya ukristo wangu,,suluhisho ni maelewano 2,,ila ya wahenga "mapenzi hayachagui dini wala kabila" Georgina ,jambo 1,myt na zion,..
Mimi kuna gf wangu niligegeda kwa miaka 2 akiwa hana uhakika na dini yangu, siku aliponifuma nakula kitimoto akakata mawasiliano nami kabisaaa!Tafuta wa iman yako nukta
Ila hli suala la vikwazo ktk ndoa kutokana na dini tofauti sio suala jipya. Suala hlo limekuwa kikwazo toka enzi. Mimi pia ni muhanga wa hlo. Ila kwa sasa chuki ndo znaongezeka.
Yah kwa sasa hali ni tete sana,kabla ya kupenda kwanza unauliza dini yake.
Suala la Imani lina nafasi kubwa sana katika mahusiano
Huu ndio ukweli mchungu!