HesabuKali
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 2,880
- 5,881
Uislam haujawahi kuichafua duania tangu kuumbwa kwa Dunia, lini Uislam ushawahi kuanzisha vita na kundi lolote lile?UISLAM NI KAMFUMO FULANI KALITENGENEZWA KUICHAFUA DUNIA,
Ni kawaida kwa mhalifu kutamani kila mtu angekuwa mhalifu kama yeye pale akitiwa hatiani. Hata failures wengi wanahisi waliofaulu ni wabaguzi.
Swala 5 hawezi kuwa mwenzako kwenye wizi, kamari, uzinzi, uongo, unafiki, ulevi na makundi ya kipuuzi, kwahiyo lazima tu kwa mwenye sifa hizo amuone swala 5 ni mbaguzi na mwenye chuki kwani yeye anapinga yote hayo na ni mkali kwenye huo upuuzi. Pole sana
Uislam haujawahi kuichafua duania tangu kuumbwa kwa Dunia, lini Uislam ushawahi kuanzisha vita na kundi lolote lile?
Mnawajaribu Waislamu wenyewe mkibutuliwa mnaanza kuulalamikia Uislam.
Ukiuchokoza Uislam jiandae na hasara ya kudumu, chezea vingine sio Imani yao na hawajawahi kushindwa tangu Dunia inaumbwa na mpaka inaisha hakuna mtu atakuja kuanzisha vita na Uislam atashinda, utatumia kila aina ya vifaa ila utakimbia wewe kwani ishaandikwa Adui wa Uislam hatashinda hiyo vita kwakuwa kwenye Imani ya kiislam hakuna kurudi nyuma linapokuja swala la uchokozi wa Imani.
Kwani wewe demu alie fungasha umtaki anata mwenye mbao?au unataka kwenda kanya ukaungane na makenzi kufunga na kuomba siku 40 bila kula wala kunywa?
Kwani wewe hauna ndugu?Magaidi ndio yanauishi uislamu,mana kurwani imesema muislam ndugu yake muislamu,makristo na mayahudi na maadui namba moja,dini ya mudi ina shida mahali
Nashukuru umesema muislamu na si uislamu.Mimi nashangaa sana, eti mtu anamchukia mwenzake kwasababu ya imani, na niwe mkweli wala siyo kwasababu ya udini, nyie wenzetu waislam mna chuki
sasa kwani biblia haifundishi upendo wa Mkristo kwa Mkristo mwenzake? inakuaje Ukraine na Russia wanamalizana na NATO inapeleka Silaha kumaliza Wakristo wenzao badala ya kupeleka suluhu na maridhiano …yaani Wakristo wa NATO wanazidiwa uchamungu na Mapagani ya kichina yanayohimiza suluhu ?Magaidi ndio yanauishi uislamu,mana kurwani imesema muislam ndugu yake muislamu,makristo na mayahudi na maadui namba moja,dini ya mudi ina shida mahali
Tatizo lako mtoa mada ni uongo na uzandikiMimi nashangaa sana, eti mtu anamchukia mwenzake kwasababu ya imani, na niwe mkweli wala siyo kwasababu ya udini, nyie wenzetu waislam mna chuki sana.
Yaani unakuta eti mtu anamtenga kabisa mwanajamii mwenzake eti kisa dini[emoji15] hii dunia hii ngumu sana. Yaani wewe hata humjui mtume, yaan ni imani tu ambayo umeirithi kutoka kwa ancestor wako, tena pengine hata hao hawakumuona
Halafu eti dah unachachamaa kabisa....... lets take things easy guys destiny itasema kila kitu wakati sahihi utasema, believe what you believe let others do so. kwasababu wote ndo wale wale.
Udini unasababisha kupotea kwa maisha ya watu, unafarakanisha ndugu na kupelekea uadui baina ya watu, sasa kwann tufike huko? let's go easy.
ni miaka takriban 365 kama sikosei ukristo ulishakula age, ndo unakuja uislam maana yake ni kwamba yalishakuwepo mengi sana kabla. leo wew unakuja unajifanya wew ndo wew aisee.Magaidi ndio yanauishi uislamu,mana kurwani imesema muislam ndugu yake muislamu,makristo na mayahudi na maadui namba moja,dini ya mudi ina shida mahali
Huyo madam ni mdini sana.Umetengwa kisa dini? haha [emoji1] FaizaFoxy alinikataa siku ya Eid. . View attachment 2603114
mkuu kusimamia imani yako ni kuendelea kuabudu unachoamini siyo kugombana na wenzako na kuwatenga.Mmechokozana huko kwenye mambo yenu ya kipuuzi halafu unawaita Waislamu wadini? Kwanza udini ni nini? Isije ikawa mtu anasimamia Imani yake wewe unamuita mdini kisa tu kakataa kufanya unavyotaka wewe.
Kuna muda mwingine baadhi ya wajinga wanahisi Uislam ni swala la kujiamulia tu. Mfano mtu mnaweza mkawa mmekaa mnafanya jambo, ukienda kuswali mjinga anakuona mdini kwasababu anahisi swala ni kujiamulia muda kumbe swala ina nyakati zake.
Ukiona mtu analalamikia udini uje huyo ni fuska fulani anayetaka watu waishi vile anataka yeye. Muislam amekatazwa kufanya ubaguzi, ila amekatazwa pia kujadiliana linapokuja swala la Imani, yaani hakuna kujificha kwenye kutekeleza Imani yake. Nyinyi udini mnaoita ni pale Muislam anapokuwa committed na Imani yake.
Kuna baadhi yenu hata mkikaribishwa majumbani kwa Waislamu ukifika muda wa swala wakatoka kwenda kuswali au wakijitenga sehemu waswali mnawaita wabaguzi. Mtaendelea kuwaona Waislamu ni wadini kwakuwa mnaamini dini ni mjadala wa kirafiki ufanye au usifanye.
Imeandikwa; hawatakuwa radhi na nyinyi mpaka mtakapofata mila zao.
we bibi acha mambo zako wew[emoji3]. we mwenyew mbaguzi tu, na nafikir ulielewa nilimaanisha nini!Waislam wangekuwa wanatenga watu, hii nchi isingekuwa na dini zingine za kiajabu ajabu.
Kumbuka kuwa dini zingine zote ziliukuta Uislam tayari upo ardhi i hii inayoitwa Tanzania leo.
mkuu fafanua kuhusu haki, haki ni nin? na waislam hawapendi dhulma kvp na wanasimamia haki ipi?Watu wanashindwa kutofautisha kati ya udini ,ubaguzi na Kupinga dhulma.
Ninachojua ni kwamba uislam haupendi dhulma . Ni dini inayopigania haki muda wote. Tatizo ni kuwa Kuna watu wenye tamaa zao wamejiingiza kwenye siasa wakijifanya ni Waislam lakini malengo yao sio dini Bali maslahi na umaarufu wao na familia zao.
[emoji23][emoji23] we jamaaaCha kushangaza kwenye huu Uzi mtu wa kwanza mpaka wa kumi kukomenti ni wavaa rozari waliojificha kwenye mgongo wa kukataa dini huku wakitumia nguvu nyingi kuushambulia uislamu.
HUO NDIO UNAFIKQUUNA ULIOWAZI KABISA ....Yale wanayoficha kwenye nyoyo zao ni makubwa zaidi(kuliko Yale mnayodhihirisha)..Basi kufeni na chuki zenu.