UDINI ni kitu kibaya sana

Waislam wangekuwa wanatenga watu, hii nchi isingekuwa na dini zingine za kiajabu ajabu.

Kumbuka kuwa dini zingine zote ziliukuta Uislam tayari upo ardhi i hii inayoitwa Tanzania leo.
we huna tofauti na wehu walioko barabarani.
 
Wewe bora ya udini kuliko ushamba na ulimbukeni wa lugha ya kingereza
 
Wakristo na waislam
wote hamjielewi
wafia dini wote ni wa hovyo.
mmeua uafrika kisa mambo yenu ya ajabu
mnakera
Leo unakana ukirito kisa makezi kawaamlisha mfunge bila kula siku 40?
 
Wewe kichwani kumejaa matope
Kila kukicha utaskia mawaidha ya watu wa dini flan kukashifu dini nyingine kuwaita makafir, kukataza kushiriki nao shughuli za kijamii hadi misiba , huoni ni ubagzi mkubwa
Soma vizuri mtoa mada alichoandika na uache kukurupuka kujibu
 
-Udini
-Ukabila
-Ubaguzi wa rangi
-Ubaguzi wa maimbo demu mwembamba unamnyanyapaa unataka wanene wenye mizigo
-Wanaume wafupi hamuwataki mnawataka warefu wembamba weusi

Hivyo vyote vitu vibaya mkuu sio udini peke yake
Kwani wewe demu alie fungasha umtaki anata mwenye mbao?au unataka kwenda kanya ukaungane na makenzi kufunga na kuomba siku 40 bila kula wala kunywa?
 
Ushawishi wao ili ujiunge unadanganywa mbinguni Kuna pisi 72....mambo ya ajabu sana
Wewe ni miongoni mwa waliotoroka kenya kwenye vifo via haraiki vilivyo sababishwa na ibiri wa kanisani?
 
Watu wapuuzi kama wewe kukujibu inatia kinyaa kabisa, kajinga kama wewe hujui hata kusoma ukaelewa unakimbilia kujibu ujinga tu, Wapi Uislam umeelekeza hayo unayosema wewe na huyo majnun mwenzako? Wapi na lini Uislam umekataza kushiriki shughuli za kijamii? Ndio maana nimesema kabisa wajinga wawili wamechokozana huko wanakuja kuhukum Uislam ikiwa na wewe mpuuzi usiyejua maana ya katazo.
Kushiriki unaweza kushiriki shughuli yoyote ile usifate Mila zao, Mfano watu wakiambiwa wafumbe macho waombe, hakuna ulazima Muislam kufanya hayo matendo kabisa Imani yake hamuambii Yesu ni mwana na Mungu, Sasa hapo ndio unataka kuwaona ni wadini?
Vichwa mnavyo lakini sijui mmewekea uchafu gani kuelewa mambo madogo tu kama hayo.
Na mtu kuitwa KAFIR sio kashifa wala tusi, tafuta maana yake utajua kuwa hilo sio tusi ni jina kama vile unavyoweza kumuita mwizi mtu anayeiba, mwalimu mtu anayefundisha. Kwahiyo hata wewe kama sio Muislam kuitwa KAFIR ni sawa tu kama vile unavyojiita Mkristo.
Kukataza kuiga taratibu za watu sio ubaguzi, wewe ukiambiwa ufate mila za kiislam utafata kutokana na Imani yako? Usipofata ukiitwa mdini utakubaliana na wanaokuita hivyo?
Imeandikwa mna dini yenu na sisi tuna dini yetu, Misiba yenu fanyeni sisi tutakuja kuwafariji ila kufata taratibu zenu sahauni kabisa na Waislamu hawajawahi kukataa kushiriki Misiba uache uongo ila kufata matendo hilo ni hapana
 
Magaidi ndio yanauishi uislamu,mana kurwani imesema muislam ndugu yake muislamu,makristo na mayahudi na maadui namba moja,dini ya mudi ina shida mahali

Soma Luka 19:27

Labda unajifanya kuisahau

Vitabu vya Kanisa Katoliki vimeandika haya

 
Binadamu kwa asili ni mtu mwema, untillhis mind is corrupted with a dangerous virus called dini flan.
Dini ya kweli ni kumpenda binadamu mwenzako na kutenda mema basi.
 
Imani ni ugonjwa mbaya sana, na bahati mbaya hauna tiba rahisi.

Imani za chuki huhudhunisha sana Moyo wangu. Na hiki kitu hukiona kwa wenzetu Islamic kwani hujiona bora zaid kuliko wengine na after all huonesha reaction zao wazi wazi kama walivoagizwa kwenye kitabu chao.
 
Hamuwezi kureact kwenye dunia ya leo, Maana iko mamlaka iliyokubwa zaidi kuliko nyingine na ndiyo ambayo inasimamia haki na usawa hadi kwenu nyie watoto wa Mungu mnaopingana kila leo.

Mamlaka hiyo ni Serikali

Kuna Muda muwe mnaishukuru Serikali kwenye ibaada zenu huko, si wakristo si waislamu.
 
Kauli inajinesha kuwa wewe ni bora kuliko Wote ukristoni.

Ila kuna wanaokuona nawewe huamini dini ya kweli.
So Mtazamo na dini yake viheshimiwe.

Tunaweza kumjibu kwa hoja huyu akabadilika...
 
Udini ni Mbaya sana, ona sasa kuna baadhi ya mambo unashindwa kuyatafakari kikawaida na kuyachukulia kidini.
Habari za viongozi mara kula nguruwe kutapika.. Huoni kama ni chuki tu.

Hey come on guys, Tuish Maisha bhna kwa kupendana.
 

Says mmatumbi wa oman
 

Swala tano wengi hata akili hawana,moyoni mwao wamejenga chuki dhidi ya wasio waislamu,
 
Udini ni Mbaya sana, ona sasa kuna baadhi ya mambo unashindwa kuyatafakari kikawaida na kuyachukulia kidini.
Habari za viongozi mara kula nguruwe kutapika.. Huoni kama ni chuki tu.

Hey come on guys, Tuish Maisha bhna kwa kupendana.
Baadhi ya vitu lazima tuvichukulie kawaida na sio inferiority complex mtu akufanyie hivi basi uchukulie udini.

Chanzo cha utumwa ni utumwa mwenyewe hakuna udini unless otherwise uchukulie kila jambo kweny udini...Angalia Rais akiteua muislamu wala nguruwe wanaanzisha uzi kwamba ni udini ila akiteua mkristo wapo kimya...

ukiona mtu alalama ujue yeye ndo ana udini kwa ndani.
 
Swala tano wengi hata akili hawana,moyoni mwao wamejenga chuki dhidi ya wasio waislamu,
Ni kawaida kwa mhalifu kutamani kila mtu angekuwa mhalifu kama yeye pale akitiwa hatiani. Hata failures wengi wanahisi waliofaulu ni wabaguzi.
Swala 5 hawezi kuwa mwenzako kwenye wizi, kamari, uzinzi, uongo, unafiki, ulevi na makundi ya kipuuzi, kwahiyo lazima tu kwa mwenye sifa hizo amuone swala 5 ni mbaguzi na mwenye chuki kwani yeye anapinga yote hayo na ni mkali kwenye huo upuuzi. Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…