UDINI ni kitu kibaya sana

Sijawahi kusema "uislamu uliingia Tanzania".

Tanzania imeukuta Uislam upo zamani Tanganyika.

Kanisome tena nilichiandika, usitake kutia maneno yako kwenye maandiko yangu.
Uislamu haikuingia kote Tanganyika, huu ni uongo.
 
Uislamu haikuingia kote Tanganyika, huu ni uongo.
Jiulize Kongo ulifikaje Uislam? Kuna kabila zima huko halina ambae si Muislam. Unalijuwa au tukupe darsa?

Nenda katembelee Kigoma, Kagera, Tabora, Singida, Dodoma ujiulize huko hakuna Uislam?

Nakuuliza, unafahamu kuwa Mkwawa akiitwa Abdallah?

Hivi wewe ni wa mkoa gani Tanzania hii?

Jionee....

Your browser is not able to display this video.
 
Sasa Mkwawa kama aliitwa jina la kiarabu wewe sasa linakusaidia nini..!!
 
hujui kuwa ww unaenda motoni??![emoji91]
[emoji1370][emoji1370]

وَإِن مِّنكُمْ إِلَّا وَارِدُهَا ۚ كَانَ عَلَىٰ رَبِّكَ حَتْمًا مَّقْضِيًّا

[ MARYAM - 71 ]
Na hakuna yeyote katika nyinyi ila mwenye kuifikia jehannam Hiyo ndiyo hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.

allah mwenyewe makazi yake ni motoni!
[emoji1370][emoji1370]
Sahih al-Bukhari 4848
Narrated Anas:
The Prophet (ﷺ) said, "The people will be thrown into the (Hell) Fire and it will say: "Are there any more (to come)?' (50.30) till Allah puts His Foot over it and it will say, 'Qati! Qati! (Enough Enough!)'"
حَدَّثَنَا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ أَبِي الأَسْوَدِ، حَدَّثَنَا حَرَمِيٌّ، حَدَّثَنَا شُعْبَةُ، عَنْ قَتَادَةَ، عَنْ أَنَسٍ ـ رضى الله عنه ـ عَنِ النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم قَالَ ‏ "‏ يُلْقَى فِي النَّارِ وَتَقُولُ هَلْ مِنْ مَزِيدٍ‏.‏ حَتَّى يَضَعَ قَدَمَهُ فَتَقُولُ قَطِ قَطِ ‏"‏‏.‏
Reference : Sahih al-Bukhari 4848
In-book reference : Book 65, Hadith 369

Kama unabishia sio maskani yake tuwekee ushahidi aliutoa mguu wakel[emoji101]
 
jaman tuwe makini tusije tukatafsir maandiko vibaya halaf ikaja kula kwetu baadae, tusome maandiko tuelewe ndo maelezo yafate baadae.
 
duh aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…