Udini kwenye michezo ni upumbavu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udini kwenye michezo ni upumbavu.

Discussion in 'Sports' started by Michael Mwakyusa, May 20, 2012.

 1. M

  Michael Mwakyusa JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 307
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Eti henry ni mkristo furani ni muislam inatusaidia nini.
   
 2. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  sasa wewe inakuhusu nini wakina henry wako ulaya wewe upo hapa tz udini wao wewe unakuwasha nini? Kama huna cha kupost sio lazima upost soma za wengine upate fikara tofauti?
   
Loading...