Udini hadi kwenye mitandao ya simu.... This is very noma

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
2,937
1,857
Nimeangalia phonebook yangu, watu wote wenye namba za Zantel ni waislam, whats wrong with this mtandao and udini?
 
NEW NOEL

JF-Expert Member
May 21, 2011
861
403
Ili utakuwa unaanzisha wewe,Zantel ni mtandao wa simu ambao naamini una malengo ya kibiashara.
Tena unasema umetazama Phone book yako. Hizo ni fikra mbaya na ambazo hazifai. Kumbuka kuwa mtandao wa Zantel umeanzia Zanzibar na umejipanua zaidi maeneo ya Dsm,Tanga na maeneo mengine ya pwani. Na ukitazama maeneo hayo yote utakuta idadi kubwa ya watu ni Waislamu.
Please tuache uvivu wa kufikiri....
KWANI KAMA KAMPUNI YA ZANTEL INA WATEJA WENGI WAISLAMU KWA NINI USIANZISHE YA KWAKO KWA AJILI YA WAPAGANI?
 
Fahari MJ

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
422
128
Nimeangalia phonebook yangu, watu wote wenye namba za Zantel ni waislam, whats wrong with this mtandao and udini?

Toa tawkimu za mitandoa yote kama tgo, vdacom, airtel
Toa taiwmu za watu hao wako wapi mikoa
Toa takiwimu za jinsia wanawake. wanaume
Toa takwimu za hata umri.
 
mshikachuma

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
2,853
619
Ili utakuwa unaanzisha wewe,Zantel ni mtandao wa simu ambao naamini una malengo ya kibiashara.
Tena unasema umetazama Phone book yako. Hizo ni fikra mbaya na ambazo hazifai. Kumbuka kuwa mtandao wa Zantel umeanzia Zanzibar na umejipanua zaidi maeneo ya Dsm,Tanga na maeneo mengine ya pwani. Na ukitazama maeneo hayo yote utakuta idadi kubwa ya watu ni Waislamu.
Please tuache uvivu wa kufikiri....
KWANI KAMA KAMPUNI YA ZANTEL INA WATEJA WENGI WAISLAMU KWA NINI USIANZISHE YA KWAKO KWA AJILI YA WAPAGANI?
Wee mwaache tu huyu jamaa.....hajui hapa jamvini kuna mtu anaitwa Topical, akija hapa atampiga maswali hadi akimbie au aambulie bann.
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
44,160
50,562
Thread zimeisha siku hizi eh,usije tena ukasema watumiaji wa zain ni wachaga je kuna ukabila hapa,jipange mkuu hili linatokana na originarity,Zantel imeanzia Znz kwahiyo unaweza ukapata jibu hapo
 
Vin Diesel

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
9,095
6,327
Mkuu yahitaji uende shule kujua Zantel imejikita wapi na wakazi wa huko ni dini gani?
 
The last don

JF-Expert Member
Aug 3, 2011
876
841
Naona inshu ya udini kwako ndio big deal na si vinginevyo,Zantel ni kampuni ya biashara,hao walio katika phone book yako ni jamaa zako wa karibu ambao watakuwa wanapatikana katika ukanda wa pwani ambako Zantel ndiko ilikoota mizizi.
 
ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,975
1,639
Mzee ukifuatilia majina ukadhani yanawakilisha dini utakuwa umeingia chaka la nguvu. Hebu angalia hiii:
1. Augustino Ramadhani
2. Samson Ally
3. ......

Jamani mwingine aongezee
 
Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,787
9,115
Mzee ukifuatilia majina ukadhani yanawakilisha dini utakuwa umeingia chaka la nguvu. Hebu angalia hiii:
1. Augustino Ramadhani
2. Samson Ally
3. ......

Jamani mwingine aongezee

3. husninyo uporoto.
 
Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,836
1,164
Mzee ukifuatilia majina ukadhani yanawakilisha dini utakuwa umeingia chaka la nguvu. Hebu angalia hiii:
1. Augustino Ramadhani
2. Samson Ally
3. ......

Jamani mwingine aongezee

4.Asha-Rose Migiro
5.Baraka Hussein Obama
6.Zitto Zuberi Jackson Kabwe
7.Freeman Aikael Hamad Mbowe
8.Wilbroad P. Rashid Slaa
9.Halima Yohana Mdee
10.Tundu Mohamed Lissu
11.Joseph Ally Mbilinyi
 
Mpogoro

JF-Expert Member
Dec 7, 2008
386
55
4.Asha-Rose Migiro
5.Baraka Hussein Obama
6.Zitto Zuberi Jackson Kabwe
7.Freeman Aikael Hamad Mbowe
8.Wilbroad P. Rashid Slaa
9.Halima Yohana Mdee
10.Tundu Mohamed Lissu
11.Joseph Ally Mbilinyi

This is funny!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom