The Quonquerer
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 777
- 111
Nenda zako nani kakudanganya majority your footSio ajabu waislam kuwa 75% kwasababu wao ndio majority hapa nchini (CIA Data), kinachoshangaza ni kwanini waislam ni minority sehemu nyingine za kazi? elhali wao ndio wengi nchini?
Sipendi udini, tukitaka uwiyano nilazima waislam wajaziwe sehemu ambazo wao niwachahce.
Asanteni.
Tatizo hawa walio sasa competency zero! na ndio maana chama kinayumba kuna Waislam ambao wana uwezo na sio hawa wa sasa!Huo ni UBAZAZI wa mtu kufikilia CCM imejaza nafasi za Juu waislamu. Kumbe Mkuki kwa Nguruwe kwa Binadamu Mchungu eti? HEBU KUMBUKA HII.
M/kti Taifa - Ben Mkapa
Katibu Mkuu - Mangula
K/Mwenezi Taifa - Mchome,
K/ wa fedha na Uchumi - Salome Mbatia,
K/ Idara ya Uhamasishaji na Itikadi - George Kipwengo,
Hapa hapakuwa na UKRISTO ETI? ila leo ndo kuna Uislam?
Acheni kufikiria KIBAZANI
Kumbe issue ni uwezo si dini siyo..sasa mshauri huyu mdini aliyeanzisha thread hii aache upuuziTatizo hawa walio sasa competency zero! na ndio maana chama kinayumba kuna Waislam ambao wana uwezo na sio hawa wa sasa!
waambie hao mods waitoe hii thread, maana si tumesema tumechoka. Labda mpaka usalama wa taifa uwaambie.Ninapata mashaka sana ninaposikia DINI, KABILA au RANGI zetu zikitajwa mbele ya maslahi ya umma. Ninashindwa kuamini kama sisi bado ni 'WATUMWA". Dini ni kitu gani? ukabila wetu ni nini? rangi zetu zina mchango gani katika ujenzi wa madarasa, barabara, zahanati na mabwawa yatakayoiwezesha jamii yetu kuepukana na kutegemea kilimo cha mvua zisizoaminika? Hivi, tunarithi nini hiki, kitusaidie nini, tunategemea kumrithisha nani uozo huu? Tuwe na mijadala yenye dira ya kutusaidia kulisogeza taifa letu mbele, kuwapunguzia mwendo mama na dada zetu kuvifikia vituo vya uzazi salama na namna ya kupunguza viwango vya ujinga. Tukishikilia dhana ya Utumwa tutabaki kunyosheana vidole na hakuna tukalolifanya kama familia moja, jamii moja wala Taifa moja.
kuna mtu aliwahi kusema hapa kuwa kuna makubaliano ndani ya ccm kuwa na uwakilishi sawa wa dini kubwa nchini za uislam na ukristo. Matokeo ya uchaguzi dodoma yanaonyesha kuwa waislam sasa wana-nafasi asilimia 75 ya uongozi wa ccm.
Ilivyokuwa cuf na viongozi wengi waislam watu waliita cuf, chama cha waislam. Sijui kama ccm itaitwa the same name? Viongozi wakuu wanne, kikwete, karume, msekwa, na makamba; ratio inaonekana tayari. Kwa kamati kuu (cc), ratio ipo wazi, cha ajabu hata nec, ni the same trend.
Haya ni makubaliano ndani ya ccm au ni mabadiliko ya yale makubaliano ya awali? Naomba kuwasilisha
Hivi hao watu walipachikwa ama wamegombea?
Kama hawakupachikwa hivi waliowapigia kura watu hao ni watu wa dini gani?.
Hivi makamba angepata kura za waislamu pekee angeshinda NEC?
Au kepteni John Komba angepata kura za Wakristo pekee angeingia NEC?.
Na hao Wakristu kina Lowassa walikaa tu wakiona wakristu wenzao wanapokonywa ushindi na waislamu?.
Gentlemen what are you trying to say?
haufai lakini upo...............Dini ya nini katika siasa huyu jamaa anataka nini?
Tusiingize udini katika siasa
Je TRA ina waslam % ngapi na wakristu % ngapi?
Hatufiki kokote.
Udini na Ukabira haufai kabisa
Kuna mtu aliwahi kusema hapa kuwa kuna makubaliano ndani ya CCM kuwa na uwakilishi sawa wa dini kubwa nchini za uislam na ukristo. Matokeo ya uchaguzi Dodoma yanaonyesha kuwa waislam sasa wana-nafasi asilimia 75 ya uongozi wa CCM.
Ilivyokuwa CUF na viongozi wengi waislam watu waliita cuf, chama cha waislam. Sijui kama CCM itaitwa the same name? Viongozi wakuu wanne, Kikwete, Karume, Msekwa, na Makamba; ratio inaonekana tayari. Kwa kamati kuu (CC), ratio ipo wazi, cha ajabu hata NEC, ni the same trend.
Haya ni makubaliano ndani ya ccm au ni mabadiliko ya yale makubaliano ya awali? Naomba kuwasilisha
Ndugu zangu!
Majina sio dini! Dini ya Uislamu sio waIslamu ni maandiko sio matendo ya wenye majina ya Uislamu au Ukristo! Chambua orodha ya "Mafisadi na Walioweka na Kutayarisha mikataba" Je, kuna Uislamu au Ukristo hapo ndugu? Bila kupotosha "Uislamu" ni uadilifu na kufuata "Njia Iliyonyooka". Sio Osama au Siasa Kali! Je, wewe ni Mkristo au Mwislamu kweli kweli au unafuata upepo? Turejee katika maamrisho ya "Mungu" na sio ya "Miungu watU!
Naona umeamua kwa makusudi kuto sema ukweli. Uislam kamwe si uadilifu na wala haujanyooka kama unavyo dai wewe Jogoo mstaafu.
Uislam umeonyesha chuki na unyama kwa hali ya juu sana kwa maisha ya binadamu. Koran inakiri hilo, Allah wenu anakiri hilo, na hata Marehemu Muham-mad msaidizi wa Allah wenu alihakikisha kuwa ana-execute amri hizo ambazo zipo kiuwazi kabisa katika Koran kitabu cha msaidizi wa Allah aitwaye Jibril.
Miungu watu naona wapo kwenye Koran ya Allah kiumbe. Mungu anasema wapende adui zako na wasamehe saba mara sabini kwa siku, je, ni wapi kwenye Koran panapo sema msamehe na muombee heri adui yako wa Kiyahudi na Kikristo?
Mwisho nataka uelewe kwamba, CCM imejaa udini wa Kiislamu. Rais ni Muislamu, Makamu wake ni Muislamu, Rais wa Zanzibar ni Muislamu, na makamu wake vilevile ni muislamu. IGP ni Muislamu, Viongozi karibia wote wa juu ni Waislamu. Hilo tunalijuwa na si siri. zaidi ya hapo fahamu kwamba, Wakristo si kama nyie Waislamu mnao penda kulalama kwa kila kitu wakati mkijuwa kuwa malalamiko yenu hayana msingi wala mwelekeo na yamesababishwa na mad-rasa ya allah kiumbe.
Chama hiki kilianzishwa na waislam, wakati huo nyie wakristo mnawasujudia wakoloni, kwahiyo usishangae wakiwa majority na pia kumbuka Tanzania majority ni waislam(cia reports) wanayosababu yakuwa wengi kila sehemu
Chakushangaza kwanini wako wachache sehemu nyinginezo? huko ndio kuna udini.
Wewe ujui chichote kuhusu uislam, kuna aya na hadithi nyingi zinazo zungumzia amani, upendo, uadilifu nk, wewe unaendeshwa na chuki binafsi jazba na kiburi ndo maana uoni mazuri ya uislam na wiislam