Rev-Kishoka.
Sasa hapa nimekupata vizuri Kabisa, ahsante kwa clarification mkuu.
Tuendelee kukata ishu mkuu, tuendelee kuupiga vita ubaguzi/udini/ na ufisadi wote kwa ari mpya na kasi mpya.
amini usiamini udini unatisha nchi hii hasa baada ya kuingia huyu bwana kikwete................
Nafikiri ndugu yangu unahitaji msaada sana katika mambo ya muungano.
.......hebu fanya analysis kidogo. Wenyeviti wa CCM mikoa na makatibu wa mikoa waislam wangapi na wakristo wangapi.......
..........Vile vile hata wakati wa mkapa ambao kulikuwa na wakatoliki wengi ndani ya CCM lakini ndani ya CC ambako kuna wajumbe 20 toka bara na 20 toka Zanzibar na wawili wanaoingia ambao ni Mzee Kawawa na Mzee Malecela. Utaona lazima waislamu wawe wengi..................
Wakatoliki hacheni kulalama mbona hamkusema wakati wa Mkapa ambapo kulikuwa na Mkapa, malecela, mangula,msome,msekwa, sumaye etc
Pamoja na yote msizungumzie uislamu kwa mwislamu ambaye huwakimbia waislamu wenzake na matokeo yake huenda kuanguka kwa waksritso, Sababu( at I was Tired...........)
what a stupid comment!!!! I dare to say it.Kifupi ni hivi.
CUF kama wanavyosema ni cha waislamu na wapemba.
CHADEMA chama cha wakatoliki na wachaga
CCM chama cha mafisadi
kwa muda wa miaka mingi waislamu walikuwa wakilalamikia udini...kuwa wakiristo ndo wanapendelewa kuliko waislamu...lwo ukiona wakiristo wanalalamika ujue kuna jambo. rejea makala ya Rweyemamu kabla hajakuwa mnukulu. Jamani siku zote waislamu walikuwa na wamekuwa wakiuweka mbele utaifa kuliko hata maslahi ya waislamu. na waislamu walipolalamika walipewa majina mbalimbali kuwa hawajasoma, mara ohooo magaidi mara hivi mara vile...Jamani kuweni makini na uchochoze huu..kila nafasi akipewa muislamu basi ujue kapendelewa na kuna udini...lakini akipewa mkiristo hakuna tatizo. Hala hala mti namachoamini usiamini udini unatisha nchi hii hasa baada ya kuingia huyu bwana kikwete................