Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Status
Not open for further replies.
he he heheeeeeeeeeeee, habari za jikoni zina facts. Kuliko mleta ndoto za mchana, sijui ulikuwa hujala maskini ya mungu Mdaku!

ha ha ha ha,

umepatikana tena masikini kwa kuleta habari za kidaku za jikoni na sasa umeanza kuziita facts. ha ha ha ha, hapa sina mbavu.
 
mdaku kama vile mdaku mwenzake alivyokimbilia kuja kujadili mjadala wa kidaku

Mdaku uliyeleta habari ya UDAKU ukashindwa kuleta facts, ulidhani umepata kumbe umepatikana. Siku ingine ukifungua thrad hakikisha una DATAZ za kutosha.
 
ha ha ha ha,

umepatikana tena masikini kwa kuleta habari za kidaku za jikoni na sasa umeanza kuziita facts. ha ha ha ha, hapa sina mbavu.

kwi kwi kwi, UDAKU huo mwanaume mzima aibu jamani aibu, kwa kufungua thread ya udaku.
 
MDAKU; Kama haya ndio unayoyaita majadiliano basi CHADEMA huku wamekwisha, ndio mnavyojadiliana hivi? no wonder mnafukuzana.

ha ha ha ha.

mafisadi wa ccm mtapata magonjwa ya moyo mwaka huu.
mkuki kwa nguruwe, mliita CUF chama cha kidini mkadhani hakuna mtu anayejua siri ya udini ulivyojaa ccm. Hapa mama mmepatikana, mtabanwa mbavu kwenye mambo ya EPA na buzwagi, na mkileta mambo ya udini na ukabila, mtaanikwa tu.

Ha ha ha, ninapenda sana ccm wakibwana mbavu vile wanavyohangaika.
 
kwi kwi kwi, UDAKU huo mwanaume mzima aibu jamani aibu, kwa kufungua thread ya udaku.

kwi kwi kwi,

bana mbavu mpaka wachukie na kuanza kuleta habari za jikoni huku wakiziita facts. ha ha hah,
 
Mdaku uliyeleta habari ya UDAKU ukashindwa kuleta facts, ulidhani umepata kumbe umepatikana. Siku ingine ukifungua thrad hakikisha una DATAZ za kutosha.

Ninakuwekea tena hii habari ya udini ndani ya ccm ili uisome vizuri na ukimaliza urudi kuendeleza udaku:

1. Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete - Mwenyekiti - Muslim
2. Ndugu Pius Msekwa - Makamu Mwenyekiti (Bara) -
3. Ndugu Amani Abeid Amani Karume - Makamu Mwenyekiti(Zanzibar) - Muslim
4. Ndugu Yussuf R. Makamba - Katibu Mkuu - Muslim
5. Capt. (mst) George Huruma Mkuchika - Naibu Katibu Mkuu (Bara)
6. Ndugu Salehe Ramadhan Ferouz - Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar)- Muslim
7. Dr. Ali Mohamed Shein - Mjumbe - Muslim
8. Ndugu Mizengo Kayanza Peter Pinda - Mjumbe
9. Ndugu Shamsi Vuai Nahodha - Mjumbe - Muslim
10. Alhaj Ali Hassan Mwinyi - Mjumbe - Muslim
11. Ndugu Benjamin William Mkapa - Mjumbe
12. Mzee Rashid Mfaume Kawawa - Mjumbe - Muslim
13. Dr. Salmin Amour - Mjumbe - Muslim
14. Ndugu John Samwel Malecela - Mjumbe
15. Capt. (mst) John Zefania Chiligati - Mjumbe
16. Ndugu Amos Gabriel Makala - Mjumbe
17. Ndugu Bernard Kamilius Membe - Mjumbe
18. Ndugu Kidawa Hamid Saleh - Mjumbe - Muslim
19. Ndugu Samwel John Sitta - Mjumbe
20. Ndugu Pandu Ameir Kificho - Mjumbe - Muslim
21. Ndugu Anna Abdallah - Mjumbe
22. Ndugu Rostum Aziz - Mjumbe - Muslim
23. Dr. Mohamed Gharib Bilal - Mjumbe - Muslim
24. Ndugu Pindi Hazara Chana - Mjumbe
25. Ndugu Andrew Chenge - Mjumbe
26. Dr. Maua Abeid Daftari - Mjumbe - Muslim
27. Ndugu Samia Suluhu Hassan - Mjumbe - Muslim
28. Ndugu Mohamed Seif Khatib - Mjumbe - Muslim
29. Ndugu Haji Omar Kheri - Mjumbe - Muslim
30. Dr. Abdallah Omari Kigoda - Mjumbe - Muslim
31. Ndugu Abdurahman Kinana - Mjumbe - Muslim
32. Ndugu Anne Semamba Makinda - Mjumbe -
33. Ndugu Fatuma Said Ali Mchumo - Mjumbe - Muslim
34. Ndugu Zakia Hamdan Meghji - Mjumbe - Muslim
35. Ndugu Omar Yussuf Mzee - Mjumbe - Muslim
36. Ndugu Emmanuel John Nchimbi - Mjumbe
37. Ndugu Ali Ameir Mohamed - Mjumbe - Muslim
38. Ndugu Yussuf Moh’d Yussuf - Mjumbe - Muslim
 
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amethibitisha kuwa alikikopesha chama chake sh. milioni 500 kwa ajili ya kampeni na pia amekuwa akikikopesha chama hicho mara kwa mara mahitaji yakijitokeza. Huyu ndio Mbowe anayedaiwa na taifa la Tanzania na ameshindwa kulipa deni hilo kwa taifa kwa madai ya kushindwa kufanya hivyo! kwa hili Mbowe amedhihirisha kuwa kwake yeye chama na maslahi yake binafsi ni muhimu kuliko maslahi ya taifa.

Mbowe hafai kuongoza nchi yetu.
 
Kwi kwi kwi,

yaani sasa umeanza flooding, unaweka kila thread. Au unatafuta sababu ya kufungiwa kwa flooding kisha uanze malalamiko? Ukisikia kuishiwa hoja ndiko huku. Unatia huruma sasa na hii obsession yako na Mbowe.

Ngoja nikupe break kidogo sasa maana umeanza kuonyesha frustrutions. Usinilaumu mimi, muliyaanza haya huko ccm kwa kuita vyama vingine vya kidini na kikabila. Mnavuna tu kile mlichopanda.

Kuwa na siku njema, jaribu kuchukua breki kidogo upunge upepo maana unakoelekea sasa siko.
 
kwi kwi kwi,

bana mbavu mpaka wachukie na kuanza kuleta habari za jikoni huku wakiziita facts. ha ha hah,

mdaku utamjua tu, kesha dakia habari ambayo haijaulizwa, aliyoulizwa hana facts nayo! Mdaku original wengine wote photocopy
 
MDAKU Mgaya, afadhali umekimbia maana umejua, ukichimbwa huna facts wala figures, unadakia tu, ukisikia mwenzio kajamba nawe wajamba, akipiga mwayo nawe wapiga kwi kwi kwiiii, kazi ipo mwaka huu.

Tena kwa akili yako ilivyokaa kidaku basi ukiona mtu hasupport CHADEMA basi yeye sisiemu, kwi kwi kwi yaani kiumbe mzito kweli wewe.
 
Huu Nimuda Wa Kuangalia Maendeleo Ya Nchi, Tumo Kwenye Ushndani Wa Viama Vingi Tukianza Kuleta Udini Kwenye Chama Tawala Tutajigawa Utakuwa Mwanya Kwa Wapinzani. Muhimu Wenye Cheo Anaweza Kutuletea Maendeleo Na Tumpe Support Kwa Nguvu Zote Tusiangalie Dini Wala Kabila Lake.
wakati Wa Utawala Wa Rais Mkapa Ukiristo Ulitawala Sehemu Zote Waislamu Hawakusema Kitu Iweje Leo Yamekuwa Hayo?tukiangalia Hayo Amani Itatoweka Nchi.
 
Ukweli ni kuwa Kabla ya mtu kuwa mzalendo kwa nchi yake anakuwa mzalendo kwa Mungu wake. Nadhani hoja hii ina mantiki kubwa ambayo contributors wengi wanajaribu kuifunika kwa kuwa wanajua si tu repurcations zake lakini pia wanaelewa vizuri agenda iliyo nyuma. Sio siri kuwa Uislamu ni zaidi ya dini, ni mfumo wa utawala unaoamini kuwa ndiyo bora kuliko mifumo yote including democracy. Na kwa kweli hatimaye uislamu una strive to take over the whole world and especially the western world.

Hapo mzee umegonga mahali! Na ninajua reactions zitakuwa nyingi za kukuita mdini n.k Lakini je ni nani mdini anayetaka kulazimisha matakwa ya imani kwa wengine au vipi? Wakristo nao imewapasa kufunguka macho katika nafasi za uongozi wenzetu hamasa wanapatia msikitini! Na issue ya kidini watu kugombea na kupigiana kura je lengo hatimaye ni lipi? Misikiti ina interest gani ktk kuhimiza waislamu wagombee na kupigiana kura? Nafikiri tusipoamka sasa iko siku tutakuta ya Somalia yamefika bongo.
 
Kati ya hao walio-orodheshwa na dogo Mgaya, sijaona muislam wala mkristo. wote ni Caesarian!!!!!!!
 
Naomba kuwauliza wote mliochangia hii mada kwa upande wa kimagharibi au kimashariki: -

Hivi Wakristo wangekuwa Viongozi wengi CCM kuliko Waislam kama ilivyo kwa Waislam kuwa wengi kuliko Wakristo, SI WAISLAM WANGEKUWA WAMESHA ANDAMANA?

Mkweli yeyote wa JF analijua hili.
 
Kama mnapost kwa ushabiki wa dini, angalieni makala ya Ndesanjo Macha.

Ndio maana nalisema, hao wanasiasa wa bongo wenye majina ya kiislam/kikiristo sijaona muumini wa dini hizo, wote ni makaisaria!!!!!!
 
Ukiangalia TREND YOTE ya jinsi pesa za ufisadi zilivyogawanya...Utangundua kuwa ulikuwa ni mpango maalum kwani pesa zilikuwa nyingi kupindukia!

Waliojimilikisha migodi...Wakaanzisha na EPA na msururu wake ndio kama virusi!

Halafu kila mahali wakaweka wachagga na kuwaingiza humo kwenye ufisadi wao!Wengi tu!Tena pesa zenyewe zilianzia huko kwa wasilamu...Kina Iddi Simba na wamiliki wa BORA APTS,NDOVU SOAP NK!

Pesa hizo wakazi channel kwa watu ambao kisa ni wachaga tu maana hata walikuwa si watu wa ma connection kihivyo!Walizitapakaza kila mahali hadi marekani na kwingineko ulaya!

Sasa mpango wao unakuwa wazi...UDINI NA UKABILA!

Wale waliokuwa wakijuwa kuwa ccm itadaiwa kuwa ni mafisadi na huku ccm yenyewe ikiwa wazi kuwa ni chama cha waislam...Wakazipenyeza pesa za EPA kwa style ya kuchafuana na sasa ni PROPAGANDA TIME!

Tatizo bado narudia...Ni jf!

Trend ya pesa za ufisadi pamoja na kinachohubiriwa na ccm hapa unajuwa kuwa wizi wote ilikuwa ni wa kisiasa uliopangwa kimafia ili hata wale wapinzani wanaoelekea kushinda kwa hoja basi wachafuliwe!

Mfano mwingine ni hata jinsi wamekuwa wakijaribu kumchafua hata MWAKYEMBE!

Pesa walizochukuwa ni nyingi sana!Haziwezi kwisha...Na ni wazi serikali yetu inazitumia tena ili kuwaghilibu wananchi!Sidhani kama ni possible this time.

Ripoti ya EPA iko hapa...Tumeshazisoma na tunajuwa everything na ni nani wanahusika!

Wananchi naomba muelewe hili...Kwamba RIPOTI ZOTE ZIKISHAKUSOMWA...HAPO TUTAKUTA MAFISADI WENGI TU KUANZIA WAKRISTO,WAISLAM,WAHINDI,WACHAGGA,WASUKUMA,
WAMASAI NK!

Wote hao ni MAFISADI NA KAMWE WASILICHAFUE KABILA LOLOTE WALA DINI YOYOTE!

Watanzania DAINI UHURU WENU NA MTAONA MATUNDA YAKE!

TANZANIA NI NCHI TAJIRI INAYOMILIKIWA NA MAFISADI WACHACHE WA DINI TOFAUTI NA MAKABILA TOFAUTI WAKISHIRIKIANA NA MKOLONI WALIYENWUZIA NCHI!

Tunawaomba watanzania muwashurutishe wabunge wenu wadai ripoti za EPA NA MADINI NA ISSUES NYINGINE ZOTE HADI TUERUDISHIWE NCHI YETU!
 
__________________
 
Hakuna udini Raisi aondoe udini gani?CCM haiteuwi wajumbe bali wanapigiwa kura!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…