Intaneti ishawahi kuzimwa kabisa Tanzania?
Nyerere aliongoza maazimio ya kuifanya Tanzania iwe nchi ya chama kimoja, hakuamka tu kwenye podium na kupiga marufuku vyama vingi. alibadilisha katiba. sasa ndio maana tunamwambia Magufuli kama hataki vyama vingi basi abadilishe katiba kama Nyerere hapo tutamwelewa. Kwa hiyo huwezi kulinganisha hiyo ya Magufuli na hiyo ya Nyerere.Unasema hakuna rais aliyewahi kupiga marufuku vyama vya upinzani kufanya mikutano wakati tayari kuna rais alivipiga marufuku kabisa vyama vya upinzani kwa miaka mingi tu!
Come on man!
Hoja hapa siyo REACTION ya Vyama vya siasa, bali ACTION ya Rais aliyeko madarakani ambapo sisi tunasema ni DIKTETA kwa sababu YA MAMBO MBALIMBALI ALIYOFANYA KATIKA MUDA WA MIAKA MMITATU, na wewe unasema SIYO DIKTETA kwa sababu HAJAFUNGIA INTANETI.Halafu, hivi kwa nini hivyo vyama vya upinzani na vyenyewe havijafungua kesi ya kikatiba kupinga huo ujinga?
Yaani na vyenyewe vimekubali tu kuburuzwa utadhani havijui katiba inasemaje! SMH.
Twende kwa logic. hatuwezi ku-argue kuhusu Bunge Live wakati hapakuwa na TV. Huwezi kumuuliza mtu wa STONE AGE Habari ya INTANETI. pia hata wakati wa Mwinyi na Mkapa hapakuwa na huo utaratibu wa BUNGE LIVE. Hiyo ililetwa wakati wa JK, na ameiondoa Magufuli. that is the argument. huko unakokwenda siko.Kuhusu bunge live....mara hii tushasahau kuwa kwa miaka mingi tu hata TV tulikuwa hatuna?
Wakati huo hapakuwa na hiyo requirement ya kikatiba ya vipindi vya urais. hatuwezi kulazimisha kuichomeka hapo. Hapa tunaongelea provisions za kikatiba ambazo Magufuli anazivunja. Pia hatuwezi kumhukumu Magufuli kwa vitu ambavyo havipo sasa hivi. tuko realistic. Mfano hebu nikumbushe huko nyuma pale Mahakama iliamua kitu halafu serikali ikakataa kutekeleza, tena ishu ya Public Interest kama uvunjaji wa nyumba za watu wengi. Massive destruction of houses. hiyo imetokea kwa watu wa kimara. hatujawahi shuhudia bomoa bomoa ya kiwango hicho.Ni nani aliyetawala kwa muda mrefu na TV hatukuwa nazo lakini sasa watu wanataka awe mtakatifu?????
Nyerere aliongoza maazimio ya kuifanya Tanzania iwe nchi ya chama kimoja, hakuamka tu kwenye podium na kupiga marufuku vyama vingi. alibadilisha katiba. sasa ndio maana tunamwambia Magufuli kama hataki vyama vingi basi abadilishe katiba kama Nyerere hapo tutamwelewa. Kwa hiyo huwezi kulinganisha hiyo ya Magufuli na hiyo ya Nyerere.
Hoja hapa siyo REACTION ya Vyama vya siasa, bali ACTION ya Rais aliyeko madarakani ambapo sisi tunasema ni DIKTETA kwa sababu YA MAMBO MBALIMBALI ALIYOFANYA KATIKA MUDA WA MIAKA MMITATU, na wewe unasema SIYO DIKTETA kwa sababu HAJAFUNGIA INTANETI.
Lakini basi, suala la kwenda mahakamani tunaweza kuona kinachoendelea. Hujiulizi kwa nini serikali hii inasisitiza sana kwamba KAMA HUKUBALIANI NENDA MAHAKAMANI?? Ipo sababu nzuri sana. Mahakama ni mhimili UNAOTARAJIWA kujitegemea. Hali inaanza kubadilika Tanzania. siku hizi unaona Rais hata akitaka kumuapisha mtu utaona JAJI MKUU, SPIKA, CAG, na viongozi wengine ambao hawatarajiwi kujichanganya na Executive, unawaona hapo. Umeona juzi kesi iliyotarajiwa kusajiliwa ya Zitto Kabwe jinsi alivyozungushwa. na pia ukishapeleka mahakamani wanaweza kuzungusha kupanga jaji wa kusikiliza kesi mpaka magufuli amalize kipindi chake. Rejea kesi ya Sugu kukata rufaa alipofungwa. na wakati huo hutakuwa na ruhusa ya kuongea jambo hilo POPOTE watakukumbusha kwamba hiyo ni CONTEMPT OF COURT. Vyama vimeamua kutumia MAHAKAMA YA WANANCHI. unaweza kuidharau, lakini Watanzania wanaona na ndio moja ya sababu Magufuli anaogopa sana a free and fair election. angalia chaguzi za marudio.
Twende kwa logic. hatuwezi ku-argue kuhusu Bunge Live wakati hapakuwa na TV. pia hata wakati wa Mkapa hapakuwa na utaratibu. Ililetwa wakati wa JK, na ameiondoa Magufuli. that is the argument. huko unakokwenda siko.
Wakati huo hapakuwa na hiyo requirement ya kikatiba ya vipindi vya urais. hatuwezi kulazimisha kuichomeka hapo. Hapa tunaongelea provisions za kikatiba ambazo Magufuli anazivunja. Pia hatuwezi kumhukumu Magufuli kwa vitu ambavyo havipo sasa hivi. tuko realistic. Mfano hebu nikumbushe huko nyuma pale Mahakama iliamua kitu halafu serikali ikakataa kutekeleza, tena ishu ya Public Interest kama uvunjaji wa nyumba za watu wengi. Massive destruction of houses. hiyo imetokea kwa watu wa kimara. hatujawahi shuhudia bomoa bomoa ya kiwango hicho.
Kuhusu "watu wanataka awe mtakatifu" Hiyo ni privilege ya Kanisa Katoliki. Wana uhuru wa kufanya watakavyo mradi hawavunji sheria. Siyo "Watanzania" wanaotaka Nyerere atangazwe Mtakatifu, ni Kanisa Katoliki. Hiyo ingehusika hapa kama Magufuli ANGEMTANGAZA NYERERE MTAKATIFU. OTHERWISE usichanganye mambo.
Muda mwingine huwa nasoma huko nakuona Tutavuka mipakaWiki iliyopita serikali mpya ya Zimbabwe iliamua kufunga upatikanaji wa intaneti nchini humo kama malipizo ya maandamano ya watu kupinga upandaji wa bei ya mafuta.
Hapa Tanzania kuwekuwepo na kila aina ya lawama kwa utawala wa Rais Magufuli.
Rais Magufuli keshaitwa kila aina ya majina. Jina ambalo limekuwa likijirudia rudia ni ‘dikteta’.
Nikiri kuwa hata mimi mwanzoni mwanzoni mwa utawala wake kuna mambo sikuyapenda na niliutumia huo utambulisho wa ‘dikteta’ kuelezea kutopendezwa kwangu na baadhi ya mambo .
Lakini kwa kadri siku zinavyokwenda, yajiriyo hapa nchini na nje ya nchi, yananifanya nianze kujiuliza kama ni jambo sahihi kumwita Rais Magufuli dikteta.
Kuna watu humu mitandaoni wanapenda kulalamika kuwa eti Tanzania sasa hivi hakuna uhuru wa kutoa maoni na uhuru wa kujieleza.
Mara nyingi watu hawa hutoa malalamiko yao kupitia mitandao ya kijamii.
Sasa kilichotokea huko Zimbabwe wiki iliyopita kimenfanya nijiulize upya kuhusu huu udikteta wa Rais Magufuli.
Hivi ni lini hapa Tanzania tumewahi kufungiwa kabisa huduma ya intaneti kutokana na maandamano au sababu ingine yoyote ile?
Kilicho ironic ni kwamba hao wakosoaji wa Magufuli kuhusu uminywaji wa haki za kidemokrasia za kutoa maoni na kujieleza, hutumia intaneti kutoa maoni yao wakiwa hapa hapa nchini.
Huyu Magufuli ni dikteta gani anayeruhusu watu wamkosoe, kumpinga, na hata kumtukana huko kwenye mitandao ya kijamii lakini hachukui hatua kali za kuifungilia mbali intaneti kama alivyofanya Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe ambaye kaingia madarakani majuzi tu hapa?
Watanzania wakati mwingine huwa tunabweteka sana na uhuru tulionao!
Wiki iliyopita serikali mpya ya Zimbabwe iliamua kufunga upatikanaji wa intaneti nchini humo kama malipizo ya maandamano ya watu kupinga upandaji wa bei ya mafuta.

Watanzania wakati mwingine huwa tunabweteka sana na uhuru tulionao![/QUOTE
Leo nmeproove kujua kingereza sio kuelimika. Umechapisha ujinga wa kiwango cha lami,Leo umenionyesha kiasi gani akili yako inashuka...sijui uzeee ndio unaingia kwa kasi...Umesoma vizur sheria ya cyber crime, Kama unajihisi uko huru tengeneza group la whxup kuwa free kuchangia kama unavyochangia humu Jf, kama kesho hatutokuokota ufukweni kwenye mfuko wa sandarusi.
Sio wote walimchukia wapo waliompenda tena sana tu...........Idd Amin hakupendwa na watu kwa vile alikuwa MUUAJI. Watu walikuwa wanaokotwa mto Kagera, hivyo hawakumpenda.
Sawa mkuuHakuna hoja hapo ni ujinga, wewe kufanananisha matumizi ya mitandao na Uhuru wa kutoa maoni. Hivi unajua kuna uhuru wa kukutana? Sasa kwenye mitandao wanakutana? Wanafanya mikutano au? Acha kujipumbuza na ujinga wako. Huna hoja, hata kwenye orodha wa great thinker wewe hautakuja kuwamo.
Sent using Jamii Forums mobile app
So wataka mpaka internet ifungwe ndo uamini ni dikteta? Uhuru wa kutoa maoni upo? Waweza elezea why maandamano kibao ya kupongeza serikali yanapewa baraka lakin Yale ya kuipinga hata kwa Aman yanakataliwa? Waweza elezea kwanini yule mkurugenzi wa twaweza kanyanganywa hati ya kusafiria ? Me naona sometimes acha kuwaza kua it could be worse kwanini usiwaze it should be better?Wiki iliyopita serikali mpya ya Zimbabwe iliamua kufunga upatikanaji wa intaneti nchini humo kama malipizo ya maandamano ya watu kupinga upandaji wa bei ya mafuta.
Hapa Tanzania kuwekuwepo na kila aina ya lawama kwa utawala wa Rais Magufuli.
Rais Magufuli keshaitwa kila aina ya majina. Jina ambalo limekuwa likijirudia rudia ni ‘dikteta’.
Nikiri kuwa hata mimi mwanzoni mwanzoni mwa utawala wake kuna mambo sikuyapenda na niliutumia huo utambulisho wa ‘dikteta’ kuelezea kutopendezwa kwangu na baadhi ya mambo .
Lakini kwa kadri siku zinavyokwenda, yajiriyo hapa nchini na nje ya nchi, yananifanya nianze kujiuliza kama ni jambo sahihi kumwita Rais Magufuli dikteta.
Kuna watu humu mitandaoni wanapenda kulalamika kuwa eti Tanzania sasa hivi hakuna uhuru wa kutoa maoni na uhuru wa kujieleza.
Mara nyingi watu hawa hutoa malalamiko yao kupitia mitandao ya kijamii.
Sasa kilichotokea huko Zimbabwe wiki iliyopita kimenfanya nijiulize upya kuhusu huu udikteta wa Rais Magufuli.
Hivi ni lini hapa Tanzania tumewahi kufungiwa kabisa huduma ya intaneti kutokana na maandamano au sababu ingine yoyote ile?
Kilicho ironic ni kwamba hao wakosoaji wa Magufuli kuhusu uminywaji wa haki za kidemokrasia za kutoa maoni na kujieleza, hutumia intaneti kutoa maoni yao wakiwa hapa hapa nchini.
Huyu Magufuli ni dikteta gani anayeruhusu watu wamkosoe, kumpinga, na hata kumtukana huko kwenye mitandao ya kijamii lakini hachukui hatua kali za kuifungilia mbali intaneti kama alivyofanya Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe ambaye kaingia madarakani majuzi tu hapa?
Watanzania wakati mwingine huwa tunabweteka sana na uhuru tulionao!
Huwa anatamani malaika ashuke aifunge!!!Magufuli ni dikteta gani anayeruhusu watu wamkosoe, kumpinga, na hata kumtukana huko kwenye mitandao ya kijamii lakini hachukui hatua kali za kuifungilia mbali intaneti kama alivyofanya Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe ambaye kaingia madarakani majuzi tu hapa?
Watanzania wakati mwingine huwa tunabweteka sana na uhuru tulionao
Mimi nadhani hatuwezi kumtarajia mama ntilie azungumzie UDIKTETA WA MAGUFULI. Mkwezi wa Nazi, na hata kwenye vigenge vya kahawa. wanachoweza kuongelea ni "ugumu wa maisha", na pia kuonesha huruma kwa wapinzani. Sympathy.Kwa sasa hoja ya kwamba Rais Magufuli ni dikteta haina mashiko huku uraiani....Ina mashiko kwenu wachache huku mtandaoni.
. .
Magufuli means business na ni dikteta kweli. fedha inapangwa na kugawiwa ikulu, na sasa hivi hakutakuwa na kura za maoni kwa chaguzi za CCM - Magu mwenyewe ata-retain powers za kumrejesha mgombea ubunge. anaamrisha Spika, Jaji Mkuu, CAG, nk. ni DIKTETA indeed. halingani na akina hitler kwa sababu huyu ni PETTY DICTATOR. Vile vile kuwa Full Dikteta ina gharama zake katika ulimwengu wa leo, hivyo anajizuia katika baadhi ya mambo. Lakini angalia ile body language pale anapokosolewa na Zitto Kabwe au Tundu Lissu. yaani yuko tayari kumeza mtu!Madikteta huwa hawajadiliwi hivi tunavyomjadili Magufuli na kumwita kila aina ya majina na kumtania tutakavyo. .
Ni wewe umeileta, maana yake bado ina mashiko. mtandao unawakilisha sample ya watanzania, na ukitaka kujua impact, hebu angalia wanaosoma kila thread, hata kama hawachangii, idadi ni kubwa sana. Ila kunachobamba mtaani ni MAISHA MAGUMU. huo ni wimbo kila mahali unapokwenda siyo vijijini na siyo mijini, na THEY HOLD MAGUFULI RESPONSIBLE.Ina mashiko kwenu wachache huku mtandaoni.
Pole sana!!Ningekujibu mstari kwa mstari sema sina tu muda na ninatumia simu. Nitarudi baadaye.
Nafikiri kipimo cha mtu kuitwa dikteta si tu lazima afungie Internet. Ni bora kwanza kuangalia wale wanaomwita dikteta wanamwita kwa sababu gani na kama sababu hizo zinakidhi mtu kuitwa dikteta.Huyu Magufuli ni dikteta gani anayeruhusu watu wamkosoe, kumpinga, na hata kumtukana huko kwenye mitandao ya kijamii lakini hachukui hatua kali za kuifungilia mbali intaneti kama alivyofanya Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe ambaye kaingia madarakani majuzi tu hapa?
Watanzania wakati mwingine huwa tunabweteka sana na uhuru tulionao!
Nyani, unajuaje huko tunakoelekea hatakuja kutufungia kama Zimbabwe ...........!!?
Kama kuna huo uhuru kama tunavyotaka mbona Mello tuko na kesi mahakamani ...........!!?
Zimbabwe wamefunga siyo kwa ajili ya kumsema Manangagwa bali kuzuia watu kuorganise maadmano kwa kupitia mtandao!!
Usijfanye kipovu, tumia ID yako halisi kumsema ******** hapa kama kesho hawajakung'oa korodani...jifanye tu kama unajikunaWiki iliyopita serikali mpya ya Zimbabwe iliamua kufunga upatikanaji wa intaneti nchini humo kama malipizo ya maandamano ya watu kupinga upandaji wa bei ya mafuta.