Bichwa ndani ya dryer
Member
- Sep 22, 2026
- 47
- 78
Ok.🐒Kwa utafiti mdogo nilioufanya UTAWALA wa kidemokrasia ni utapeli tu na mtego ambao nchi nyingi za kiafrika zimejiingiza kingi bila kujua ,naamini udikteta NDIO mfumo Bora wa kutongoza nchi kwasababu dikteta anakuwa msemaji wa mwisho katika maswala ya nchi bila kuingiliwa na makuburu na walowezi weupe ,
Anauwezo wa kuvunja sheria ambazo anaona hazina maslai Kwa Taifa mfano mikataba ya kilaghai na unyonyaji
Nchi kama China, Korea kaskazini,Irani,na urusi ni mfano Bora wa nchi zenye udikteta mkubwa lakini viongozi wake wamevaa vazi la uraisi ili kujiepusha jina la udikteta ambalo kimsingi sidhani kama ni baya .ila wamesimama wima kama rula wawaruhusu ujinga ujinga na upuuzi unaoendlea kwenye inchi zinazojiita za kidemokrasia mfano hawalei ushoga, na matumizi ya dawa za kulevya ,mikataba ya kijinga kijinga kama nchi za kidemokrasia
Kwenye nchi za kidemokrasia matendo ya rushwa, uchawa na wizi wa mali za umma ,matabaka na kujibinafsisha mali za umma ,undugu katika kupeana vyeo na unafiki yamekithiri sana
Weka picha kwa faida ya members.
Sawa kwenye msafara wa kenge mamba Nao wamo ni sawa Kuna nchi mfano Bolivia ulioitaja ambyo walioingia kidikteta walikuwa na motive ya kuuza madawa ya kulevya ila kwa Uganda nduli Amin alikuwa anarekebesha na kujenga nchi Kwa kutumia wa asia waliokuwa wanamiliki ardhi ya waganda akaonekana mbaya alikuwa anataka kuongeza mpka Kagera akaonekana mbaya lakini kujiangalia hapo alikuwa anatanguliza maslay ya Uganda hata Kwa mauaji aliyoyafanya ya wanasiasa alikuwa hataki kuingiliwa na kuruhusu Kila mtu kubwabwaja kma ambavyo Huwezi kumwacha mke wako ajiamulie amulie mambo ,Akili za matakoni hizi,mbona hutaji mifano ya Uganda,Congo,Rwanda,Burundi,Niger,Bolivia n.k.
Unatetea upumbavu
Kwa utafiti mdogo nilioufanya UTAWALA wa kidemokrasia ni utapeli tu na mtego ambao nchi nyingi za kiafrika zimejiingiza kingi bila kujua ,naamini udikteta NDIO mfumo Bora wa kutongoza nchi kwasababu dikteta anakuwa msemaji wa mwisho katika maswala ya nchi bila kuingiliwa na makuburu na walowezi weupe ,
Anauwezo wa kuvunja sheria ambazo anaona hazina maslai Kwa Taifa mfano mikataba ya kilaghai na unyonyaji
Nchi kama China, Korea kaskazini,Irani,na urusi ni mfano Bora wa nchi zenye udikteta mkubwa lakini viongozi wake wamevaa vazi la uraisi ili kujiepusha jina la udikteta ambalo kimsingi sidhani kama ni baya .ila wamesimama wima kama rula wawaruhusu ujinga ujinga na upuuzi unaoendlea kwenye inchi zinazojiita za kidemokrasia mfano hawalei ushoga, na matumizi ya dawa za kulevya ,mikataba ya kijinga kijinga kama nchi za kidemokrasia
Kwenye nchi za kidemokrasia matendo ya rushwa, uchawa na wizi wa mali za umma ,matabaka na kujibinafsisha mali za umma ,undugu katika kupeana vyeo na unafiki yamekithiri sana
Sawa kwenye msafara wa kenge mamba Nao wamo ni sawa Kuna nchi mfano Bolivia ulioitaja ambyo walioingia kidikteta walikuwa na motive ya kuuza madawa ya kulevya ila kwa Uganda nduli Amin alikuwa anarekebesha na kujenga nchi Kwa kutumia wa asia waliokuwa wanamiliki ardhi ya waganda akaonekana mbaya alikuwa anataka kuongeza mpka Kagera akaonekana mbaya lakini kujiangalia hapo alikuwa anatanguliza maslay ya Uganda hata Kwa mauaji aliyoyafanya ya wanasiasa alikuwa hataki kuingiliwa na kuruhusu Kila mtu kubwabwaja kma ambavyo Huwezi kumwacha mke wako ajiamulie amulie mambo ,
Hata tukija Kwa Gadafi ,Adolf Hilter na saivi huyu traore anapigwa vita ni kma ukiwa dikteta unatishia ulaji wa mgharibi ndo mana analetewa visa
Nakupa mfano Muamar Gadafi alipokuwa Libya inchi ilikuwa kiuchumi sana fuatilia sarafu ya Libya kipindi hicho na sasa utaona .Wewe huna vivid expamples kabisa, udikteta hautishii ulaji wa mtu ila ni mfumo usiotaka ukosolewaji
Ww unaona ilikuwa sawa idi amini kuchukua kagera? Unajua human cost yake ?
Tabia za wa afrika, hata mfumo utoke mbinguni, rushwa,uchawa, unafiki,ufisadi uko pale pale
Nitajie nchi moja ya afrika ambayo ina udikteta na hivyo vitu hamna?
Kwa utafiti mdogo nilioufanya UTAWALA wa kidemokrasia ni utapeli tu na mtego ambao nchi nyingi za kiafrika zimejiingiza kingi bila kujua ,naamini udikteta NDIO mfumo Bora wa kutongoza nchi kwasababu dikteta anakuwa msemaji wa mwisho katika maswala ya nchi bila kuingiliwa na makuburu na walowezi weupe ,
Anauwezo wa kuvunja sheria ambazo anaona hazina maslai Kwa Taifa mfano mikataba ya kilaghai na unyonyaji
Nchi kama China, Korea kaskazini,Irani,na urusi ni mfano Bora wa nchi zenye udikteta mkubwa lakini viongozi wake wamevaa vazi la uraisi ili kujiepusha jina la udikteta ambalo kimsingi sidhani kama ni baya .ila wamesimama wima kama rula wawaruhusu ujinga ujinga na upuuzi unaoendlea kwenye inchi zinazojiita za kidemokrasia mfano hawalei ushoga, na matumizi ya dawa za kulevya ,mikataba ya kijinga kijinga kama nchi za kidemokrasia
Kwenye nchi za kidemokrasia matendo ya rushwa, uchawa na wizi wa mali za umma ,matabaka na kujibinafsisha mali za umma ,undugu katika kupeana vyeo na unafiki yamekithiri sana
Mbona raia wa Libya walichukua silaha kupinga utawala wa Gadaffi?...Nakupa mfano Muamar Gadafi alipokuwa Libya inchi ilikuwa kiuchumi sana fuatilia sarafu ya Libya kipindi hicho na sasa utaona .
Unaleta haki au sio Kwa idi kutaka Kagera kwani Trump anavoyataka mafuta ya Iran je kwa marekani sio faida? As long as inchi ikiiba inaleta ndani kuna ubaya gani na je wew unaona haki hawa wakwetu kuiba ndani na kupeleka uswizi ?
Kwasababu kapten Ibrahim traore ndo anapita njia ya Gadafi
Hii hoja yako ina madhaifu matatu makubwaNakupa mfano Muamar Gadafi alipokuwa Libya inchi ilikuwa kiuchumi sana fuatilia sarafu ya Libya kipindi hicho na sasa utaona .
Unaleta haki au sio Kwa idi kutaka Kagera kwani Trump anavoyataka mafuta ya Iran je kwa marekani sio faida? As long as inchi ikiiba inaleta ndani kuna ubaya gani na je wew unaona haki hawa wakwetu kuiba ndani na kupeleka uswizi ?
Kwasababu kapten Ibrahim traore ndo anapita njia ya Gadafi
Hamna utafiti ni hisia zake, mtu makini anajua udikteta una hasara zaidi kuliki faida. Throught the history kuna single factor inayowaangusha na hataki kusema hiloMkuu huna hata wiki humu jukwaani lakini umeshafanya na utafiti?? Au mlisaidiana na bichwa mwenzio BICHWA KOMWE - huo utafiti?
Walichomeshwa na hila za wamagharibi kwani alishaleta tishio kuunganisha Africa kuwa na sarafu yake ambapo ingewezekana ingekuwa pigo Kwa mabeberu ,Mbona raia wa Libya walichukua silaha kupinga utawala wa Gadaffi?...