Bila shala mmeona case study ya Sumae inavyofunua picha nyuma ya pazia. Peke yake ndiye kajibainisha kukataa rushwa na ufisadi, na kwa sababu hiyo hana mipesa ya kuwawezesha wana ccm wamdhamini na ndiyo sababu anakosa wadhamini ndani ya ccm!.
Maelfu ya Lowasa yanaendana na pochi yake kuwa kubwa, na hivyo ni dhahiri wanaogombania kumdhanini Lowasa si kwamba wanamkubali au kumpenda!. Watanzania sasa wanadhiki. Wanagombania posho ya udhamini! Angelikuwa hagawi pesa, wala wasingejitokeza. Somo mlifahamu.
Ccm Hoiiiiiiiiiii!