Udhalilishaji watuhumiwa magereza hadi lini?

sasa haya ndio mambo wanachadema tunategemea wayasemee ili kuteketeza unyanyasaji huu. nimeandika huu uzi baada ya kufanya research, na kusikia kwadogo mmoja anaitwa Tito magoti aliandika barua fulani kwa rais...dogo alikuwa gerezani na ameandika mengi sana ya gerezani....inaumiza sana.

Muhimu wote, Watanzania wote tuhimize utaratibu huu mengine mengi kama mateso, kupiga watu, kunyimwa chakula, ulawiti, kuwajaza watu wengi kama sisimizi sehemu ndogo yaondololewe.
 
Muhimu wote, Watanzania wote tuhimize utaratibu huu mengine mengi kama mateso, kupiga watu, kunyimwa chakula, ulawiti, kuwajaza watu wengi kama sisimizi sehemu ndogo yaondololewe.
cha muhimu ni kwamba mtuhumiwa awe treated kama mtuhumiwa, na mfungwa kuna sheria zake za kumtreat atumikie kifungo chake na asinyenyaswe na kunyimwa haki zake nje ya sheria. huu utaratibu unatakiwa ufuatiliwe na ufutwe.
 
Mimi nilishafanya uamuzi.Siku nikifika Gerezani,Nitatoa viatu,na Mkanda tu.Nguo nyingine lazima watumie nguvu.Na askari atakayetumia nguvu kunivua nguo atakuwa adui yangu binafsi.
 
MBNA hujasema wanavolazimisha watu wajisaidie haja kubwa hadharani Ili wakague Kama wameficha kitu, Kuna siku nipo mahakama flan nikamsikia afande mmoja wa kike akiwahimiza wale wanaotarajia kwenda mahabusu wale washibe Ili wapate choo sababu ukijifanya huna haja kubwa yanaweza kukuta mengne!!!
 
kama hilo linatokea, kwa kweli ni unyama wa hali ya juu sana.
 
Mimi nilishafanya uamuzi.Siku nikifika Gerezani,Nitatoa viatu,na Mkanda tu.Nguo nyingine lazima watumie nguvu.Na askari atakayetumia nguvu kunivua nguo atakuwa adui yangu binafsi.

Utapamba na askari magereza kumi wakiwa na balaclava (wameficha uso), full riot gear, virungu, bunduki?

Kwanza watakufunga pingu, mikono na miguu, halafu utachezea kichapo, mateso yasiyovumilika.

Ukiwa mbishi sana,unaondoka na vilema kadhaa vya maisha baada ya kuvunjwavunjwa.
 
Hao wakoloni pia wana maximum security prisons ambazo mfungiwa hungiwa humo masaa takriban 23 siku nzima huku wakizungushiwa kuta ndefu mno zenye madirisha madogo huko hewani, kiasi ambacho mfungwa humaliza hata miezi hajaliona jua isipokuwa anga tu.
Inawezekana vipi mtu alione anga ila ashindwe kuliona jua, wakati jua lipo angani?
 
Tujiulize madhumuni ya Criminal Justice System ni nini?

Sheria, hukumu, mahakama, polisi, magereza, adhabu.

Kwamba tunataka kuwarekebisha na Kuwaadhibu (Punishment and correction)

Wakitoka tunataka wawe watu wa aina gani?

Kwamba adhabu zote zizizingatie haki za msingi za kibinadamu, kwa mtu yoyote au sivyo?

Kuhusu mahabusu innocent until proven guilty inazingatiwa au vipi?
 
Ila kuna watuhumiwa na wafungwa nao ni hawana maana kabisa..manunda sugu yameshinda mitaani..

Wanatia vitu vya kuumizana na vileo kibao makalioni ..na wanauziana na mwisho wa habari ni kuzua vurugu...

Maafande wa magereza nao wanakumbana na zahma nyingi toka kwa wafungwa au watuhumiwa...ndio maana wakaamua kuwa bandidu!

Nimewahi shuhudia mfungwa kaficha kiwembe na akamrarua...mwenziwe
vibaya nk...

Hapo kesi inakuja kwa afande Kwanza ...

Si vizuri wanavyofanya, ila mazingira na aina ya baadhi ya binadamu wanao kwenda kule ...ni shida...

Afande magereza hatakiwi kushindwa na mfungwa au mtuhumiwa...

Afu kila sehemu na Sheria zake ..sasa kule hizo ndo wameona zinafaa..ili mtu asitamani kurudi Tena...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom