Unavyosema "udhaifu wa Mwafrika" ni kulinganisha na nani? Umekaa Korea, Malaysia, Indonesia, Uchina, India, nchi mbalimbali za Ulaya, nchi za Amerika ya Kusini/Kati, Oceania etc na kuona watu wa huko tamaduni zao ni zipi wakitembelewa na ugeni wa hadhi ya Obama?