Udhaifu wa Mwafrika

Udhaifu wa Mwafrika

Hapo naomba kusaidiwa, haya majina tumejikuta tumeitwa hivyo ama kuandikishwa hivyo tangu tukiwa shule za awali. Je kuna ulazima wa kubadili jina ili niwe na local names???

Wala hakuna ulazima wa kubadili.

Lakini hilo halinizuii kushangaa.
 
si swala la akili ya mwafrika, ni hisia za kibinadamu, hata ndani mwako hali ilivyo huwezi kamilisha yote kwa wakati mmoja, akija mgeni akibisha hodi utaondoa kwa haraka hata viatu ulivyovua ukisubiri kuvitoa baadae, lakini ni kwa anae jali!
 
IQ ya mwafrika ni ndogo sana.angalia popote pale kwenye waafrika utagundua.
wewe ndo bure kabisa.. unafaham maana ya IQ na kusudi lake au kwa vile umelisikia ndo unaamua kushusha c/ra/p hapa.
 
Unavyosema "udhaifu wa Mwafrika" ni kulinganisha na nani? Umekaa Korea, Malaysia, Indonesia, Uchina, India, nchi mbalimbali za Ulaya, nchi za Amerika ya Kusini/Kati, Oceania etc na kuona watu wa huko tamaduni zao ni zipi wakitembelewa na ugeni wa hadhi ya Obama?
 
Back
Top Bottom