Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,891
- 141,556
kichwa cha mwafrika ni cha mwendawazimu,hiyo ni nature ya mwafrika haibadiliki...
Ni mambo ya bajeti hayo. kawaida nchi zetu kukiwa na mgeni maarufu anazuru mamlaka husika huandaa bajeti kwa ajili ya ugeni huo. Pia huundwa kamati maalum ya maandalizi. Hapo badi kamatu hutaka kuonesha uhodari wao, watafagia na kudeki barabara, watapanda miti, nk. unakumbuka mwaka flan (nathani 2011) kulikuwa na kikao cha baadhi ya viongozi wa Afrika pale mlimani city. Mitende ilipandwa fasta, niliposikia dhamani ya mtende mmoja nilizimia kwa wivu
niliwahi kukaa na mzungu mmoja akanisimulia kuhusu utafiti alofanya yeye baada ya kuwa jirani sana na waafrika kutoka Africa akaniambia hivi
1.mwafrika ukimwamba chagua tsh 50,000/ leo na 200,000/ baada ya siku tatu
atachagua 50,000/
2.mwafrika ni mwoga na mnafiki[pretender] akialika watu kwake kama kuna vitu hana ataazima hta kwa jirani ili aonekane anavyo
akamsimulia rafki yake wa kifrika ambaye mara ya kwanza alimdrop kwake na akasema ngoja niingie na ndani akakuta hna kochi,so next alivyoalikwa na mkewe {mzungu } jamaa aliazima kochi
mzuungu akamuuliza kumbe umesha nunua kochi?zile nilizo nunua kwa ajiri yako nitazieleka Good will[Goodwill is charite shop kusaidia wenye uhitaji]
Mkuu haya mambo tumejizoesha kuanzia ngazi za chini... mfano mtu ukiskia mgeni anakuja kwako ndo unaanza kusafisha ghetto na kama ukimshtukiza utaskia oooh ndo nilikua nataka nifanye usafi... hata mdada ukiongozana nae kwake baada ya kutoka kazini mkifika utaskia ooh leo sikutandika kitanda nilichelewa kuamka....sasa hii imeenda hadi kwenye ngazi za kiutawala siku mkipata mgeni ndio mnahangaika kumwaga vifusi barabarani kisa waziri anakuja.. hii niliionaga pale SUA mwaka 2004 alipokuja waziri wa elimu ya juu aisee barabara zilimwagwa vifusi utadhani nani anakuja sijui...sasa kama wasomi tu wanafanya hivu si ndio mfumo mzima uko hivi? Kwa kweli sisi waafrika kuna kitu bado tunakikosa kwenye akili zetu na tabia hizi kwa mtu mmoja mmoja ndio zinajengeka kuwa tabia za jamii nzima... ila cha kushangaza utakuta tabia zetu zinafanana across Africa hata kama mataifa yetu ni tofauti.
Ukweli ni kwamba WaAfrika hatujitambui
Na kweli.
Maana unakuta eti Mhehe au Mngoni anaitwa Lilian Johnson!
kichwa cha mwafrika ni cha mwendawazimu,hiyo ni nature ya mwafrika haibadiliki...