Udhaifu app ya AzamTV Max - wahalifu wanaweza kuitumia bure

Inamaana hatakama sina bando naweza nikaangalia channel live.? Kama nihivyo nielekeze mkuu namna yakutumia smart card namba
I mean, kama huna smart card, unaweza kuangalia bila kulipia app yao, utahitaji kuwa na bundle tuu ili ku access internet, lakini hutahitaji kufanya malipo kwenye app ili kupata channel
 
Hupendi wanyonge wafaidi matunda yenu?
hiyo siyo maana yangu, ila tunasaidia kufanya contents kuwanufaisha zaidi copyright owners na sio wahalifu wachache kwa kusaidia kufichua udhaifu nitaoweza kuubaini kwenye system yoyote
 
ROHO MBAYA TU INAMSUMBUA!
Kama alivyoshauriwa, angewafuata huko huko waliko, akawaeleze.

Sent using Jamii Forums mobile app
naamini JF ni jukwaa linalipotiwa na maelf ya watu so kuweka hapa naamini kuna watu wao ambao watakuwa wameona, lakini pia nimewaandikia sms kwenye page yao ya Instagram ila hawajajibu, sasa sijui wamedharau au wameona na watafanyia kazi hilo si juu yangu ila kilicho muhimu kwangu nimewajulisha, udhaifu uliopo na nini wanatakiwa kufanya
 
Ulipaswa kulipwa baada ya kuonyesha kasoro hizo lakini sidhan kama tz kuna iyo kitu. Ingekuwa ni huduma yeyote ya Google umeweza kufunua udhaifu wao wewe sasa ni milionea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulipaswa kulipwa baada ya kuonyesha kasoro hizo lakini sidhan kama tz kuna iyo kitu. Ingekuwa ni huduma yeyote ya Google umeweza kufunua udhaifu wao wewe sasa ni milionea

Sent using Jamii Forums mobile app
nafahamu kuhusu hilo, ila sisi waafrica huwa hatupendi kukubali kuwa systems zetu zinaudhaifu, naamini pia unakumbuka hili neno UDHAIFU lilivyowahi kutikisa taifa.. so ninaweza nikajikuta natwishwa kesi ya cybercrime.
 
Back
Top Bottom