UDEREVA WA TAHADHARI

Nathani

New Member
Mar 11, 2019
1
1
Ndugu madereva kunawakati tunaweza sema ajali ni uchakavu wa chombo au ubovu wa bara babar ila kuna wakati lazima tujuwe sisi ndochanzo tujithamini na kujionea huruma mana mtu anaendesha bila taadhari na barabara zina miinuno miporomoko na kona kali ukizingatiya hayo safari itakuwa salama tuepuke mambo yasiyo na msingi Dereva usalama wa chombo chako unategemea akiliyako usalama wa safari yako unaitaji busara zako
FB_IMG_1551689059417.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom